Saed Kubenea afika Wizara ya Habari Kuonana na Waziri Bashungwa kuitikia wito wa Rais wa kufungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa kibabe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe .

Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine wakifika wizarani hapo kwa majadiliano .
 
Nasubiria sana Meena aende wizarani tujue gazeti pendwa la Tanzania Daima linafunguliwa lini.
 
Duh bado tu mnawaza misaada. Pesa zenyewe zinatafunwa na wachache ila ulipaji mzigo kwa wananchi
Masharti ya Wafadhili ni pamoja na kufungulia Vyombo vyote vya Habari Ili wafungulie Misaada

Very sad yaani leo tunawekeana roho mbaya mpaka watu baki ndio watushinikize?

Very Sad.
 
Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe .

Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine wakifika wizarani hapo kwa majadiliano .

JIWE alikuwa katili sana.
 
Back
Top Bottom