Saed Kubenea afika Wizara ya Habari Kuonana na Waziri Bashungwa kuitikia wito wa Rais wa kufungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa kibabe

Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe .

Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine wakifika wizarani hapo kwa majadiliano .
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
 
Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe .

Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine wakifika wizarani hapo kwa majadiliano .
Hivi hadi sasa kuna chombo chochote cha habari kilichofunguliwa? Au watendaji watishwa na kivuli cha Jiwe!
 
Kwani nyie nyumbu mna pa kujishikia? Samia kawapa Nini kila siku unamwabudu na kumsifu?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mlivyokuwa mna mramba viatu jiwe alikuwa anawapa nini hadi mkawa mnajidhalilisha?

Poleni sana WAJANE WA JIWE.
JamiiForums1992601550.jpg
 
Back
Top Bottom