Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mungu wabariki WazunguMasharti ya Wafadhili ni pamoja na kufungulia Vyombo vyote vya Habari Ili wafungulie Misaada
Very sad yaani leo tunawekeana roho mbaya mpaka watu baki ndio watushinikize?
Very Sad.
Nasubiria sana Meena aende wizarani tujue gazeti pendwa la Tanzania Daima linafunguliwa lini.Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe .
Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine wakifika wizarani hapo kwa majadiliano .
Yani wewe jamaa... Humkubari Hata huyu mama?Mungu wabariki Wazungu
Mataga hamna tena pa kujishikia baada ya mama Samia kuwatupia viragoNi jambo jema.
J J Mnyika naye aende kufuatilia Tanzania Daima!
Mwafrica bila mijeledi anaenda ?Yani wewe jamaa... Humkubari Hata huyu mama?
Kwi Kwi KwiMataga hamna tena pa kujishikia baada ya mama Samia kuwatupia virago
ile ilikuwa ya uchaguzi tu
Masharti ya Wafadhili ni pamoja na kufungulia Vyombo vyote vya Habari Ili wafungulie Misaada
Very sad yaani leo tunawekeana roho mbaya mpaka watu baki ndio watushinikize?
Very Sad.
Inawezekana hujanielewa au ni IQ hafifu au vyote kwa pamojaDuh bado tu mnawaza misaada. Pesa zenyewe zinatafunwa na wachache ila ulipaji mzigo kwa wananchi
Inawezekana hujanielewa au ni IQ hafifu au vyote kwa pamoja
Au uko Nyagi mwenzangu?Kwa povu hili jichunguze hio IQ mkuu
Au uko Nyagi mwenzangu?
Bila shakaAu uko Nyagi mwenzangu?
Mbona ulikuwa ukimchukia aliyekuwa akiwachapa mijeledi???Mwafrica bila mijeledi anaenda ?
Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe .
Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine wakifika wizarani hapo kwa majadiliano .