Hepi kaufyata kakituliza.Yule hepi nae vipi
Ndizi ilishaiva kuanzia nchani inaelekea kwenye shina, albadili huwa aikosei, ndumba upunguza uwezo wa kufikiri.Hatimaye kile kilichoitwa MAKONDA STYLE sasa kitajulikana ni kitu gani kupitia mashahidi wahanga
"Mawakili wa kujitegemea"Hapo mshitaki ni nani sasa?,ni Jamuhuri? ,Au mtu binafsi?
Ni hadi uwe na akili hioMadaraka ni kama koti la kuazima usilivae kwa mikogo
Damu zinaendanaDPP Kwann asisimamie yeye hiyo kesi? Anajifanya hakuona yaliyotokea? Au sabaya alikua na bifu binafsi na maza? Maana mambo aliyoyafanya sabaya na makonda yanaendana tu inawezekana makonda ana mahusiano mazuri na mama ndo maana wanapotezea potezea
Ngoja approach ya kukusudia kumshitaki ikubaliwe mahakamani mchakato uanze, tena kesi yake itakuwa na attention kubwa kuliko ya sabayaDPP Kwann asisimamie yeye hiyo kesi? Anajifanya hakuona yaliyotokea? Au sabaya alikua na bifu binafsi na maza? Maana mambo aliyoyafanya sabaya na makonda yanaendana tu inawezekana makonda ana mahusiano mazuri na mama ndo maana wanapotezea potezea
PumbfuWote wenye chuki na Bashite wameguswa kama wewe, Mimi hajanigusa nashukuru
DPP Kwann asisimamie yeye hiyo kesi? Anajifanya hakuona yaliyotokea? Au sabaya alikua na bifu binafsi na maza? Maana mambo aliyoyafanya sabaya na makonda yanaendana tu inawezekana makonda ana mahusiano mazuri na mama ndo maana wanapotezea potezea
Nawe utapendaje vyakula vya kienyeji?Avatar ya huyu jamaa nimeipenda sana[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Kwani kuna sehemu hapo imeonyesha kuwa hayo matumizi mabaya ya ofisi ni yale yaliyofanyika clouds?kwenye criminal case siku zote mlalamikaji ni jamuhuri tu, hivyo clouds hawezi kuwa mlalamikaji bali shahidi wa jamhuri.Clouds wamesema wenyewe hawausiki na hiyo kesi , sasa nani atakuwa mlalamikaji?
Akili yako imeishia.hapo? Nilitegemea utumbo huon[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pumbfu
Na Kubenea yupo upande upi hapa au yeye ndo Jamhuri? Samahan kwa usumbufu mkuu maana mi sielewi.Kwani kuna sehemu hapo imeonyesha kuwa hayo matumizi mabaya ya ofisi ni yale yaliyofanyika clouds?kwenye criminal case siku zote mlalamikaji ni jamuhuri tu, hivyo clouds hawezi kuwa mlalamikaji bali shahidi wa jamhuri.