KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hapana. Mawakili kama akina 'chakula' hawastahili baraka. Wao wanaona wapo juu ya kila kitu, hata HAKI za watu wengine!Mungu awabariki mawakili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Mawakili kama akina 'chakula' hawastahili baraka. Wao wanaona wapo juu ya kila kitu, hata HAKI za watu wengine!Mungu awabariki mawakili
Lugha nyeupe lazima imwache mtu mweusi gizanHABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu.
Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December
Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?
Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
No comment