Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Saed Ahmed Kubenea.
Mwandishi wa habar aliyewahi kuandika " yasoandikika"
Namkumbuka huyu jamaa kwenye issue ya ulimboka juu ya Ramadhani Ighondu. Kachero aliyemshambulia bwana Ulimboka.
Kubenea watu wanambeza sana lkn niwahakikishie kabisa kuwa kwenye siasa hasa za Afrika hakuna uadui wala urafiki wa kudumu.

Inawezekana ngoma imepindishwa makusudi kupitia kwa Kubenea.
 
Duh!.... "Maisha ndo haya bwana", yahani jamaa wameandaa mazingira ya kabla na baada ya kifo...

..hilo ni angalizo vijana msikubali kutumika.

..angalia kilichomtokea Sabaya. He is only 34 lakini ujana wake wote anaweza kuutumia gerezani.
 
28 November 2021

At The Kinondoni Magistrate's Court, District of Kinondoni in Dar es Salaam, Tanzania

MISCELLANEOUS CRIMINAL APPLICATION NO. 7 OF 2021

SAED AHMED KUBENEA (APPLICANT) versus Paul Makonda ( Respondent 1st) & Others



WAKILI AFICHUA YANAYOENDELEA BAADA YA PAUL MAKONDA KUSHTAKIWA NA KUTAKIWA MAHAKAMANI


  • Yaliyomo ktk Ripoti ya 'Nape' kutumika
  • Vikwazo vya Marekani kumhusu Paul Makonda kutumika kukazia tuhuma
  • DPP ameshindwa wajibu wake?
  • Kesi ya Paul Makonda kuwa ya kihistoria
  • Serikali na rasilimali zake zote imeshindwa kuchunguza, je raia binafsi ana nafasi gani kuweza kukusanya taarifa za mtuhumiwa wa mhalifu zitumike mahakamani ?
  • n.k n.k sikiliza clip nzima ya video
Source : mubashara studio


Toka maktaba :

22 March 2017

RIPOTI YA 'NAPE' KUHUSU UVAMIZI WA MAKONDA





https://2017-2021.state.gov › public...
Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of ...

31 Jan 2020 —

The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam. In that role, he has also been implicated in oppression of the political opposition, crackdowns on freedom of expression and association, and the targeting of marginalized individuals.

The United States remains deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in Tanzania. This includes actions taken by the government that curtail freedom of expression, freedom of association, and right of peaceful assembly; target marginalized people and the political opposition; and jeopardize life.

Section 7031(c) provides that, in cases where the Secretary of State has credible information that foreign officials have been involved in significant corruption or a gross violation of human rights, those individuals and their immediate family members are ineligible for entry into the United States. The law also requires the Secretary of State to publicly or privately designate such officials and their immediate family members. In addition to the public designation of Paul Christian Makonda, the Department is also publicly designating his spouse, Mary Felix Massenge.

These actions against Paul Christian Makonda underscore our concern with human rights violations and abuses in Tanzania, as well as our support for accountability for those who engage in such violations and abuses. We call on the Tanzanian government to respect human rights and fundamental freedoms, including the freedom of expression, association, and the right of peaceful assembly.

The United States remains deeply concerned over deteriorating respect for ... These actions against Paul Christian Makonda underscore....

READ MORE : Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of Paul Christian Makonda of Tanzania - United States Department of State
 
Wahusika hawatambui mashtaka, ila anaibuka kubenea.

Hii inaonesha wazi wahusika wako pamoja na kubenea nyuma ya pazia, lakini pia kuna uwezekano kubenea anao watu nyuma yake na wanao ushahidi wa kutosha na hii kesi imeletwa ili kukamilisha mpango fulani.
Hivi kwa mfano ukiona mtoto anabakwa ila wazazi wakaficha kwa kushirikiana na mbakaji, huwezi kufungua kesi jamhuri ikaisimamia!!?
 
Hivi kwa mfano ukiona mtoto anabakwa ila wazazi wakashirikiana na mbakaji kuficha,,huwezi kufungua kesi na jamhuri ikaisimamia!!?

Nimeuliza hivi sababu kuna watu wanasema ili makonda ashitakiwe lazima wahusika clouds au jamhuri wafungue kesi, Najiuliza kwani Kubenea hawezi kufungua kesi kwa kuona jinai iliyotendeka hata kama clouds na jamhuri wakishirikiana kuficha jinai hiyo???
 
Unamuelewa vizuri Kubenea au unamuona magazetini tu?

Kuna usemi wa kiswahili kuwa ukimuona ngedere kariakoo basi ujue kuwa kuna mtu amemleta mjini
Tunamfahamu alikamatwa Namanga akiingiza pesa za maruhani 2020 zikakamatwa na kutaifishwa pia aligombea ubunge Kinondoni 2020 kupitia chama cha Zitto akapata kura 15.
 
Unamuelewa vizuri Kubenea au unamuona magazetini tu?

Kuna usemi wa kiswahili kuwa ukimuona ngedere kariakoo basi ujue kuwa kuna mtu amemleta mjini
Ukiona panya anamtukana paka na majivuno mengi jua kuna shimo karibu. Kubenea ni panya na ana uzoefu sana na mashtaka dhidi ya serikali
 
Ukiona panya anamtukana paka na majivuno mengi jua kuna shimo karibu. Kubenea ni panya na ana uzoefu sana na mashtaka dhidi ya serikali
Inawezekana kabisa watu wakaamua kama mbwayi iwe mbwayi wakapitishia kwa Kubenea
 
Huyu mjinga acha achipute tu,sisi tulikua tunajenga kituo cha Police kwa nguvu zetu tulishafuata taratibu zote mpaka waziri wa mambo ya ndani wakati ile tulimualika na akatupa baraka zote,
Tulikizi vigezo vyote kuanzia eneo la kujenga kituo mpaka nyumba za askari tukiwa bega kwa bega na DC badala yake kaja kafanya mkutano wa hadhara kamtukana sana DC na kusimamisha mradi wetu ule akiahidi kuja kutujengea kituo kibwa zaidi kuliko kile[emoji32] alisimamisha kila kitu[emoji12]
tulisha chimba kisima na kununua tofali elf 5 na kuvuta umeme akampiga marufuku DC kuendelea na mradi ule bila yeye hicho kituo mpaka sasa kiliishia kuwa hadithi[emoji3] mimi wakati ule nilikua makamu Mwenyekiti tumeanza mchakato upya mwezi uliopita na mimi ndio mwenyekiti wa project hiyo katurudisha nyuma 3 years back[emoji56]
Nikiongozi mpenda kusifiwa na hayuko tayari kiongozi wa chini yake afanye jambo la mafanikio la kumpa credit [emoji2303]
C&P
 
Thank you Bro,
Yaan kuna Mifisadi Papa iliharibu nchi yetu yanapeta hadi leo na mingine bado ipo Bungeni yanakula Kodi tu,


Makonda afunguliwe kesi eti kwa Matumizi mabaya ya Madaraka, are we serious!!?

We have a long way to go Watanzania.
Kwahiyo mkuu bashite aachwe kwasababu wengine waliachwa?
 
Bashite wahi fasta kwa wakili msomi BM anapatikana pale SSC!! Ukitaka habari za wakili BM, waulize utopolo!! hawana hamu na BM au ukitaka Bernard Morrison!!
 
Incompetent and fattaly defective affidavit subjected to be struck out
Ningependa na kufurahi makonda apandishwe kizimbani, lakini ukiangalia hiyo affidavit, mmh! Huyu wakili sijui alipenya vipi Law school!
 
PAUL MAKONDA Kawaumiza Matajiri ambao hawana muda wa kushinda Mahakamani. Pia wengi walishasamehe na kuendelea na Maisha.
Wale walioporwa mamilioni na Sabaya kule Arusha na Moshi walikosa muda wa kufika Mahakamani kutoa ushahidi? UVCCM mna matatizo gani lakini?
 
Kufungua kesi ni jambo rahisi sana,kazi ipo kwenye kuthibitisha shitaka pasi na shaka yoyote
Ugumu unakuja pale DPP na DCI wanapokuwa ni sehemu ya washitakiwa
Hii kesi ingekua ngumu kama makonda angeshitakiwa na Jamhuri
Ninachokiona ni kama majaribio kwa sheria na mifumo ya kimahakama(test case)
 
Huna akili hujui kwamba DPP kwa mujibu wa sheria ana uwezo wa kuingilia na ku take over private criminal prosecution yyte at any time.....
ndio tatizo la jf unaweza kukuta kitoto cha shule ya msingi kinabishana profesa.......
Huwezi tuu kuzuia kesi bila sababu na asipoangalia atashtakiwa yeye DPP kwa kutumia madaraka vibaya, aache mahakama iamue kama itasikiliza au no
 
Back
Top Bottom