Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Hepi kaufyata kakituliza.Yule hepi nae vipi
Gambo mapema kuna wazee walimshika mkono wakamwambia dogo Dunia duara kanyaga taratibu ukivaa koti kuna siku utalivua akabadilika.
Hepi aliwaambia wazee wenye ccm yao wakaae kimya enzi zile za farao akiambiwa ukweli viliinuka vishetani vyake kumjibia mapigo.Zama zile za musiba majura anakata viuno kumsifia mungu wake.