Nadhani kama ungekuwa na uelewa na mambo ya legal kidogo ungeelewa nini kinaenda kutokea. Hiyo siyo kesi ya madai mkuu ni criminal manake Republic versus an accused person.Umezisoma hizo charges? Pia watuhumiwa? Hakuna kesi hapo Kubenea anatafuta kiki tu.
Wananchi wa Tanzania hatutakubali uonevu wowote utakaofanywa na mtu awaye dhidi ya shujaa wetu Paulo Bashite Makonda, atayejaribu kumgusa atakuwa halali yetu.HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu.
View attachment 2024674
Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December
Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?
Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Kesi nyingi za jinai tumezoa Jamhuri akichukua uongoz na siyo mtu binafsi. Katika kesi ya jinai iliyofunguliwa dhidi Makonda, Kubenea ndiyo mlalamikaji. Hoja anazolalamikia zinahusu uvamizi wa Clouds ambapo waiovamiwa walishasema awahusiki, silaha zilizotumika ni za serikali na serikali haijawahi kusema zilitumika kinyume cha sheria. Waliotumika ni Watumishi wa umma na walipongezwa kwa kazi nzuri iliyopelekea Waziri kufutwa kazi.
Leo tunaona magazeti yanaweka hii case Frontline, social media zinajadili, wapinzani nao wanaunga mkono; je kama Jamhuri haijaona kona Kubenea atathibitishaje ? Kama waliovamiwa wamejiweka pembeni kubenea Ali uchunguzi Mwenyewe? Kumbukeni tumeambiwa loudly kwamba Mahakamani siyo kwa Mama zenu, tunajichosha nn na agenda mfu za Kubenea?
Mkuu hiyo Application yenyewe umeiona/umeisoma? Jamhuri ijishitaki yenyewe? Hayo ni maombi hata yakikubaliwa na mahakama then washitakiwa watakuwa DPP, DCI na Makonda. Kwa akili yako ulishaona Jamhuri inawezakumshitaki DPP na DCI kama Taasisi ya Serikali!!? Tumia akili zako kidogo.Nadhani kama ungekuwa na uelewa na mambo ya legal kidogo ungeelewa nini kinaenda kutokea. Hiyo siyo kesi ya madai mkuu ni criminal manake Republic versus an accused person.
Mumeo kaguswa kinyeo kinakuwashaHili gazeti lilikuwaga lile la zamani.
Lakini tangu Mhamiaji Jenerali Ulimwengu aingie kwenye siasa za Chadema , limekuwa la ovyo kabisa.
NI suala la uzima tu.tarehe 3 sio mbali tuombe uzima
Dogo mimi sio yule jamaa aliyeamua kumfuata mmewe Ubeleji. Mimi ni Dume la Mbegu!Mumeo kaguswa kinyeo kinakuwasha
Nadhani hujaielewa vema.Angalia anayelengwa kwenye hayo mashtaka ni third respondent. Kwenye charge sheet ndo utakutana na hayo yote ambayo unadhani wamekosea. Kitendo cha application tu kupokelewa manake wamefanya citations vizuri za section kama inavyoonekana.Mkuu hiyo Application yenyewe umeiona/umeisoma? Jamhuri ijishitaki yenyewe? Hayo ni maombi hata yakikubaliwa na mahakama then washitakiwa watakuwa DPP, DCI na Makonda. Kwa akili yako ulishaona Jamhuri inawezakumshitaki DPP na DCI kama Taasisi ya Serikali!!? Tumia akili zako kidogo.
Kwenye hiyo Application Makonda amewekwa kama 3rd Respondent wakati wewe unasema ndiyo mlengwa. Hujaona charges wameambatanisha kwenye hiyo Application. Anyway let us wait and see.Nadhani hujaielewa vema.Angalia anayelengwa kwenye hayo mashtaka ni third respondent. Kwenye charge sheet ndo utakutana na hayo yote ambayo unadhani wamekosea. Kitendo cha application tu kupokelewa manake wamefanya citations vizuri za section kama inavyoonekana.
Ngoja niishie hapa muda sio mrefu tutaongea lugha moja. Jinai haifi,hilo kumbuka huko unapofanya kama una shughuli yoyote uifanyayo.Heshimu sana haki za watu.Kwenye hiyo Application Makonda amewekwa kama 3rd Respondent wakati wewe unasema ndiyo mlengwa. Hujaona charges wameambatanisha kwenye hiyo Application. Anyway let us wait and see.
Haya mkuu. Mimi nilikuwa natoa tu maoni yangu kama Bush Lawyer!Ngoja niishie hapa muda sio mrefu tutaongea lugha moja. Jinai haifi,hilo kumbuka huko unapofanya kama una shughuli yoyote uifanyayo.Heshimu sana haki za watu.
Makonda alijisahau sana hata clip zake nyingi tu zinaonesha dharau alizokuwa nazo. Kitendo cha kufikishwa tu mahakamani hakuwahi kufikiria na nadhani ni fundisho kaake hata ikitokea bahati mbaya akachoropoka.
Unamuelewa vizuri Kubenea au unamuona magazetini tu?Kesi nyingi za jinai tumezoa Jamhuri akichukua uongoz na siyo mtu binafsi. Katika kesi ya jinai iliyofunguliwa dhidi Makonda, Kubenea ndiyo mlalamikaji. Hoja anazolalamikia zinahusu uvamizi wa Clouds ambapo waiovamiwa walishasema awahusiki, silaha zilizotumika ni za serikali na serikali haijawahi kusema zilitumika kinyume cha sheria. Waliotumika ni Watumishi wa umma na walipongezwa kwa kazi nzuri iliyopelekea Waziri kufutwa kazi.
Leo tunaona magazeti yanaweka hii case Frontline, social media zinajadili, wapinzani nao wanaunga mkono; je kama Jamhuri haijaona kona Kubenea atathibitishaje ? Kama waliovamiwa wamejiweka pembeni kubenea Ali uchunguzi Mwenyewe? Kumbukeni tumeambiwa loudly kwamba Mahakamani siyo kwa Mama zenu, tunajichosha nn na agenda mfu za Kubenea?
Mkuu msamehe maana kuishi karibu na mahakama siyo kuwa mwanasheriaWewe ndio mahakama??--- kwani unaingilia mambo ya mahakama??, kesi ipo huko acha tusikie hukumu ikitoka huko.
Nchi ikiwa na watu wenye akili kiduchu kama wewe tutakosa wafadhili wa kutukopesha kabisaHizo za Kubenea ni Kiki tu na kutafuta Fursa.
Anachokifanya sasa hivi hakina hata harufu ya kufanikiwa.
Ni utoto utoto tu na kupotezeana muda kujadili upumbavu.
Haina shida ni ile kujaribu kueleweshana tu kwa kadri tulivyoelewa wala hakuna ubaya.Haya mkuu. Mimi nilikuwa natoa tu maoni yangu kama Bush Lawyer!
Nimekuelewa mkuu. Kwahiyo serikali itawajibika kuweka mawakili wake, yaani kina Chavula na Hila kwenye kesi hii?Hapana!!yeye atakuwa kama shahidi wa jamhuri tu!!hata wewe ukiibiwa mali yako ukaenda mahakamani, kule utahesabika kama shahidi wa jamhuri tu, ila mlalamikaji ni jamhuri kwani huyo mwizi wako, ametenda kosa linalokatazwa na sheria za jamhuri.
Hizo za Kubenea ni Kiki tu na kutafuta Fursa.
Anachokifanya sasa hivi hakina hata harufu ya kufanikiwa.
Ni utoto utoto tu na kupotezeana muda kujadili upumbavu.
===≠=======
Halafu ikumbukwe hata kama Kubenea ataruhusiwa kushtaki, DPP anakuwa bado ana mamlaka ya kuingilia shauri hilo muda wowote anaotaka na kutumia kifungu pendwa cha 98 (a) au (b) cha Sura ya 20 ya Sheria zetu kuondoa shauri kwa NOLE.
Sio kazi rahisi kama inavyotamkwa magazetini