Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Umezisoma hizo charges? Pia watuhumiwa? Hakuna kesi hapo Kubenea anatafuta kiki tu.
Nadhani kama ungekuwa na uelewa na mambo ya legal kidogo ungeelewa nini kinaenda kutokea. Hiyo siyo kesi ya madai mkuu ni criminal manake Republic versus an accused person.
 
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017

Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu.

View attachment 2024674
Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Wananchi wa Tanzania hatutakubali uonevu wowote utakaofanywa na mtu awaye dhidi ya shujaa wetu Paulo Bashite Makonda, atayejaribu kumgusa atakuwa halali yetu.

Mwenye kusikia amesikia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kesi nyingi za jinai tumezoa Jamhuri akichukua uongoz na siyo mtu binafsi. Katika kesi ya jinai iliyofunguliwa dhidi Makonda, Kubenea ndiyo mlalamikaji. Hoja anazolalamikia zinahusu uvamizi wa Clouds ambapo waiovamiwa walishasema awahusiki, silaha zilizotumika ni za serikali na serikali haijawahi kusema zilitumika kinyume cha sheria. Waliotumika ni Watumishi wa umma na walipongezwa kwa kazi nzuri iliyopelekea Waziri kufutwa kazi.

Leo tunaona magazeti yanaweka hii case Frontline, social media zinajadili, wapinzani nao wanaunga mkono; je kama Jamhuri haijaona kona Kubenea atathibitishaje ? Kama waliovamiwa wamejiweka pembeni kubenea Ali uchunguzi Mwenyewe? Kumbukeni tumeambiwa loudly kwamba Mahakamani siyo kwa Mama zenu, tunajichosha nn na agenda mfu za Kubenea?

Wewe ndio mahakama??--- kwani unaingilia mambo ya mahakama??, kesi ipo huko acha tusikie hukumu ikitoka huko.
 
17 /3/2017 -------------17 /3/2021
Kweli heshimu watu sponsor hufa !!! Kuna kitu nimejifunza hapo!!!
Hatuijui kesho yetu
 
Nadhani kama ungekuwa na uelewa na mambo ya legal kidogo ungeelewa nini kinaenda kutokea. Hiyo siyo kesi ya madai mkuu ni criminal manake Republic versus an accused person.
Mkuu hiyo Application yenyewe umeiona/umeisoma? Jamhuri ijishitaki yenyewe? Hayo ni maombi hata yakikubaliwa na mahakama then washitakiwa watakuwa DPP, DCI na Makonda. Kwa akili yako ulishaona Jamhuri inawezakumshitaki DPP na DCI kama Taasisi ya Serikali!!? Tumia akili zako kidogo.
 
Nadhani hujaielewa vema.Angalia anayelengwa kwenye hayo mashtaka ni third respondent. Kwenye charge sheet ndo utakutana na hayo yote ambayo unadhani wamekosea. Kitendo cha application tu kupokelewa manake wamefanya citations vizuri za section kama inavyoonekana.
 
Kwenye hiyo Application Makonda amewekwa kama 3rd Respondent wakati wewe unasema ndiyo mlengwa. Hujaona charges wameambatanisha kwenye hiyo Application. Anyway let us wait and see.
 
Ngoja niishie hapa muda sio mrefu tutaongea lugha moja. Jinai haifi,hilo kumbuka huko unapofanya kama una shughuli yoyote uifanyayo.Heshimu sana haki za watu.

Makonda alijisahau sana hata clip zake nyingi tu zinaonesha dharau alizokuwa nazo. Kitendo cha kufikishwa tu mahakamani hakuwahi kufikiria na nadhani ni fundisho kaake hata ikitokea bahati mbaya akachoropoka.
 
Haya mkuu. Mimi nilikuwa natoa tu maoni yangu kama Bush Lawyer!
 
lazima Kubenea atakuwa amejiandaa sana na ma cctv yake, labda Bashite aje aseme ni state secrets uvamizi ule ndio itakuwa pona yake... na kusema hivyo, , atawa- drag wengi sana ili kufaulisha ushahidi huo wa state secrets.
 
Hizo za Kubenea ni Kiki tu na kutafuta Fursa.

Anachokifanya sasa hivi hakina hata harufu ya kufanikiwa.

Ni utoto utoto tu na kupotezeana muda kujadili upumbavu.

===≠=======

Halafu ikumbukwe hata kama Kubenea ataruhusiwa kushtaki, DPP anakuwa bado ana mamlaka ya kuingilia shauri hilo muda wowote anaotaka na kutumia kifungu pendwa cha 98 (a) au (b) cha Sura ya 20 ya Sheria zetu kuondoa shauri kwa NOLE.

Sio kazi rahisi kama inavyotamkwa magazetini
 
Kesi nyingi za jinai tumezoa Jamhuri akichukua uongoz na siyo mtu binafsi. Katika kesi ya jinai iliyofunguliwa dhidi Makonda, Kubenea ndiyo mlalamikaji. Hoja anazolalamikia zinahusu uvamizi wa Clouds ambapo waiovamiwa walishasema awahusiki, silaha zilizotumika ni za serikali na serikali haijawahi kusema zilitumika kinyume cha sheria. Waliotumika ni Watumishi wa umma na walipongezwa kwa kazi nzuri iliyopelekea Waziri kufutwa kazi.

Leo tunaona magazeti yanaweka hii case Frontline, social media zinajadili, wapinzani nao wanaunga mkono; je kama Jamhuri haijaona kona Kubenea atathibitishaje ? Kama waliovamiwa wamejiweka pembeni kubenea Ali uchunguzi Mwenyewe? Kumbukeni tumeambiwa loudly kwamba Mahakamani siyo kwa Mama zenu, tunajichosha nn na agenda mfu za Kubenea?
Unamuelewa vizuri Kubenea au unamuona magazetini tu?

Kuna usemi wa kiswahili kuwa ukimuona ngedere kariakoo basi ujue kuwa kuna mtu amemleta mjini
 
Huyu walimchelewesha,alitakiwa kuwa jela kwa sasa kwa kifungo cha kazi ngumu. Alikuwa Mungu mtu akiwadharau watu na kujifanya kujua kila kitu. Hao mawakili waweke akaunti zao hadharani tuwachangie gharama za kesi huyo dhalimu afungwe.
 
Hapana!!yeye atakuwa kama shahidi wa jamhuri tu!!hata wewe ukiibiwa mali yako ukaenda mahakamani, kule utahesabika kama shahidi wa jamhuri tu, ila mlalamikaji ni jamhuri kwani huyo mwizi wako, ametenda kosa linalokatazwa na sheria za jamhuri.
Nimekuelewa mkuu. Kwahiyo serikali itawajibika kuweka mawakili wake, yaani kina Chavula na Hila kwenye kesi hii?
Kwahiyo kuna uwezekano Jamuhuri ni mlalamikaji / mshitaki aliyejificha nyuma ya mgongo wa Kubenea?
 
Hizo za Kubenea ni Kiki tu na kutafuta Fursa.

Anachokifanya sasa hivi hakina hata harufu ya kufanikiwa.

Ni utoto utoto tu na kupotezeana muda kujadili upumbavu.

===≠=======

Halafu ikumbukwe hata kama Kubenea ataruhusiwa kushtaki, DPP anakuwa bado ana mamlaka ya kuingilia shauri hilo muda wowote anaotaka na kutumia kifungu pendwa cha 98 (a) au (b) cha Sura ya 20 ya Sheria zetu kuondoa shauri kwa NOLE.

Sio kazi rahisi kama inavyotamkwa magazetini

Nimegundua huna unachojua na unaongozwa na emotions! DPP ni wa kesi zinazohusu serikali tu, tena serikali inaposhitaki! Ikiwa inashitakiwa Mwanasheria Mkuu wa serikali ndio mtetezi!

Kumbe ndio maana nchii hii haitasonga! Bado kuna watu wengi sana wa aiba yako wanaoamua makosa kwa emotions badala ya sheria. Hapa DPP hana chake na hata AG hana uwezo wa kufuta kesi kama si yeye aliyeifungu. Kilichobaki ni Kubenea kuifuta au Hakimu kuamua kama Bashite ana hatia au la!!
 
Back
Top Bottom