Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Jinai ikishafunguliwa hata kama ni mtu kaifungua hiyo ni kesi ya Jamhuri dhidi ya mshtakiwa.
kwahiyo kwenye private prosecution DPP atavamia hiyo kesi akutafutie ushahidi? unajua maana ya private prosecution?
 
Sabaya na wenzake wameanza kunyea ndoo na kuna mahali katika uharifu wake alionekana akiwa na vyombo vya dola vikiwa na silaha za serekali.
 
Usikate tamaa
 
Enzi za jiwe asingeweza kushtakiwa ,nape alijaribu kuingilia kati akataka apigwe BOMBA shahidi Kitenge na Harmorapa.
 
Wahusika hawatambui mashtaka, ila anaibuka kubenea.

Hii inaonesha wazi wahusika wako pamoja na kubenea nyuma ya pazia, lakini pia kuna uwezekano kubenea anao watu nyuma yake na wanao ushahidi wa kutosha na hii kesi imeletwa ili kukamilisha mpango fulani.
 
, silaha zilizotumika ni za serikali na serikali haijawahi kusema zilitumika kinyume cha sheria. Waliotumika ni Watumishi wa umma na walipongezwa kwa kazi nzuri iliyopelekea Waziri kufutwa kazi.
ulitegemea kitu gani kingetokea tofauti na hiki kilichotokea wakati mwajiri wa mtuhumiwa ndiye aliyekuwa gaidi mkuu tofauti na akinamakonda na akinasabaya alikuwa hawezi kwenda msitari wa mbele kutokana na wadhifa wake zaidi ya kuwatuma akinamakonda na akinasabaya.
 
Makonda ni Criminal sijakataa 😅
 
Criminal case inafunguliwa na kubenea?

1. Dpp ana uwezo wa kuingilia kati na kuifyekelea mbali

2. Kama ni civil inapigwa P.O mapema kabisa

3. Kubenea katika hiyo case na facts anazozitumia Hana LOCUS STANDI . The court will not see him
 
Atachanganywa kwenye kasero kadogo na yule gaidi?
 
Sina imani na Kubenea. Nadhani, baada ya kufulia, anatafuta kiki. Kubenea ni kigeugeu na mchumia tumbo sawa na akina Kafulia, Katambi, Kitila Mkumbo na wengine wanaoendeshwa na matumbo na makalio yao. Hivyo, tusitegemee chochote zaidi kutafuta kiki. Mtu aliyewahi kuwapo aliyemaanisha alichokuwa anafanya ni Christopher Mtikila kiboko ya magabacholi.
 
Kubenea ana watu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
What is happening now !
Furaha ya muda mchache sana kama corona vaccine.
Kumbe dude la variant toka SA liko njiani.
 
Mama Kamugisha
Tetemeko gani ? hakuna hela hapa za tetemeko....
 
We mzima kweli.
 
Dada Bite, hakuna kitu pale!.
Mkuu Makonyeza , asante sana kwa bandiko hili. Kiukweli baadhi ya wetu wana ushetani wa ajabu, watu wamehamanika binadamu wenzetu wanapopata matatizo, wanashangilia afikishwe kwa Pilato.

Kitu cha ajabu sana kuhusu gazeti la Raia Mwema, Mwenyekiti wa bodi ya uhariri ni mwanasheria, hivyo anaelewa kila kitu lakini sijui kwa nini anaacha gazeti lake lipotoshe!.

Kuna jinai za aina mbili,
1. Public criminal liabilities, kufanya jinai ya umma, ambazo lazima ziwe prosecuted na public prosecutor.
2. Kuna jinai za Private, or personal criminal liabilities, hizi ni jinai binafsi, kama wizi, kubakwa, kuvamiwa, personal injury, criminal trespass etc, hizi hatua ya kwanza ni kwa mtendewa kulalamika kwa kwenda kuripoti polisi na kufunguliwa RB.

Mwanamke akibakwa, asiposhitaki kwamba amebakwa, then atahesabika ameridhia, unless she is a minor.

Kitendo alichofanya Makonda kuvamia CMG ni criminal trespass, ili iwe ni jinai ilibidi Clouds wakaripoti polisi, walalamike. Ni jukumu la ofisi ya DPP kushughulikia malalamiko hayo na kuyafanyia uchunguzi.

Lakini kwa uvamizi ule, Clouds TV hajalalamika popote, hajaripoti polisi wala kufungua mashitaka yoyote.

Iwapo Clouds wangeripoti polisi na kupewa RB, kisha polisi na DPP wakaona hakuna jinai, then Clouds ndio wakaamua kumuajiri a private prosecutor, na kumfuata Kubenea, then hapo ndipo Kubenea angekuwa na locus stand to apply to institute a private criminal investigation na kuleta private criminal case against Makonda.

Ili mtu uwe ni private investigator lazima utumwe na kuajiriwa kama wafanyavyo kwa mawakili. Sasa kwenye hili la Kubenea, katumwa na nani?.

Kama Kubenea ni raia mwema wa JMT, na ameona jinai imetendeka na serikali imeshindwa kuchukua hatua, Kubenea would have made a lot of sense kama ange launched a private prosecution kwa niaba ya Shambulio la Lissu.

Watu wamehamanika bure, hakuna lolote la maana kwenye shauri hili, linapigwa chini day one ya kusikilizwa!.
Hivyo hoja zangu kwenye bandiko hili Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!. bado ziko valid and still stands.

P
 
Huu ni upotoshaji tuu wa Raia Mwema, hakuna kitu kama hicho, ukweli ni huu

Haya tumekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…