Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

kubenea ile kesi yako ulishikwa unavuka mpaka kutoka kenya kwa njia haramu iliishia wapi? mbona hujafikishwa mahakamani
 
Nyuma yake
Wapo
Makamba
Na nape
Huyo kubebenea anatumiwa tu
 
Aburuzwe tu huyo
Saed Ahmed Kubenea.
Mwandishi wa habar aliyewahi kuandika " yasoandikika"
Namkumbuka huyu jamaa kwenye issue ya ulimboka juu ya Ramadhani Ighondu. Kachero aliyemshambulia bwana Ulimboka.
 
Kwa hyo kwa mujibu wa katiba Kuna mtu yupo juu ya Sheria.? Kama ndyo hivo basi Nchi yetu imeuzwa!! Kikubwa Court itestify branda aliyofanya kiongozi. Si habar ya ktu kingine hapa!!
 
DPP ana mamlaka ya kuingilia ku/ take over hiyo kesi na ku unter nolle /kulifuta
Acha kuota ndoto haijashitakiwa serikali kashitakiwa makonda kama mtu.
Hakushitakiwa kama taasisi ya serikali. So DPP hana huo uwezo.
Hakuna pre bargain hapa!
Jamaa makonda atafute mawakili wazuri mjini la sivyo watu watakwenda kufumua maninilio Kyle nyuma
 
Huna akili hujui kwamba DPP kwa mujibu wa sheria ana uwezo wa kuingilia na ku take over private criminal prosecution yyte at any time.....
ndio tatizo la jf unaweza kukuta kitoto cha shule ya msingi kinabishana profesa.......
 
Sidhani kama kubenea ni mjinga kiasi icho na sitaki kuamini Kama kubenea ayajui yote ayo uliyoongea apa, kubenea atakuwa ametumika kama chambo tu kufanikisha kumuadabisha makonda inaonekana anayo back up ya nguvu nyuma yake tusimbeze tusubili kesi ianze tutajua
 
Nchi ikiwa na watu wenye akili kiduchu kama wewe tutakosa wafadhili wa kutukopesha kabisa
Kwa hiyo wenye akili nyingi katika nchi hufikiria wafadhili na sio namna ya kujikwamua kujitegemea bila wafadhili
 
Hati ya mashtaka imemtaja Paul makonda wakati mshtakiwa jina lake ni daudi bashite mambo gani haya?
 
Kwa hiyo wenye akili nyingi katika nchi hufikiria wafadhili na sio namna ya kujikwamua kujitegemea bila wafadhili
Labda Tanzania ya karne ijayo ndiyo mnaweza kujitegemea.
 
..na hao wakubwa wana kinga hawashtakiwi kwa madhambi yao hapa duniani.

..wakikaribia kufa Mufti na Kardinali wanaitwa kuwaombea ili wasichukuliwe hatua hata baada ya mauti.
Duh!.... "Maisha ndo haya bwana", yahani jamaa wameandaa mazingira ya kabla na baada ya kifo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…