Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Na kwa nini kesi ya jinai kama hii inafunguliwa na private firm badala ya Jamhuri?
 
Halafu ashitakiwe kwa kuunda genge la wauaji maarufu kama "Wasiojulikana".
 
Mawakiki wapo pesayake tu Kibatala na team yeke wanaweza kumsaidiatu.
 
Baba lala peponi kamanda ila sisi wanao huku duniani wameanza kutunyanyasa, mwenzangu wamemtundika mvua 30 na bado ana kesi nyingine, mimi wameniwinda weee sasa wanataka kunining'iniza kama mshikaki - baba huko uliko wanao tunaumia, uliochekana nao wametugeuka kabisa!! kama ikiwezekana rudi hata kwa dk 5 tu ushuhudie palivyochafuka hapa !! hapafai.
 
Lugha nyeupe lazima imwache mtu mweusi gizan

Ulivyoielewa hiyo Lugha kubenea amemfungulia makonda kesi au ametuma maombi ya kumfungulia kesi?[emoji3][emoji3]
 
Makonda yule mwamba ni JIWE,, sidhani kama itakuwa rahisi kama wanavofikiria...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…