Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Niliacha kununua magazeti kitambo ila hili kesho naenda nunua.. na kama kweli i'll stand with mama personally not nyinyiemu huyu jamaa kuna sehemu kupitia anko wangu kanigusa
Anaemshtaki ni Kubenea siyo mama
 
Clouds walishamkana huyo Mwanasheria wenu uchwara naona anatafuta kick kupitia jina la Makonda na msifikiri Kila mtu anafurahia kuona mtu mwingine anateseka kwa sababu TU ya chuki za kisiasa na kuna maisha mengine nje ya siasa
Subiri tar 3
 
😁😁😁
PeH_.jpg
 
Ohoooo !! Tabu ni kwamba atashitakiwa pamoja na wapambe wake ( chawa ) , Je Le Mutuz Nation atakosekana ?
Yani waliokuwa wanaongozana nae nao ni zero brain vile vile William mwili mkubwa akili ziko in microns
 
Check content,kushambulia gazeti badala ya hoja ni ukosefu wa maadili ya kisomi
Reasoning yako on this issue as you have put it above is a bit questionable. Ubora wa gazeti unakuwa determined na content zake. Kama content ni za wasiwasi/hziaminiki and the like, basi gazeti automatically, gazeti as a whole linakosa sifa za gazeti bora la kuaminika/lote ni la wasiwasi and therefore issue ya kulishambulia gazeti instead of content does not make sense logically..... gazeti linashambuliwa based on the quality of the content.. ( mimi si mtaalamu wa magazeti and the filed as such lakini kuna vitu huwa vinaflow naturally hata bila kwenda shuele ya vitu hivyo.)
 
Hii kesi haitanoga coz mshitaki sio serikali.
Na huenda mshitaki akawalipa respondents fidia asipokua makini.
 
Reasoning yako on this issue as you have put it above is a bit questionable. Ubora wa gazeti unakuwa determined na content zake. Kama content ni za wasiwasi/hziaminiki and the like, basi gazeti automatically, gazeti as a whole linakosa sifa za gazeti bora la kuaminika/lote ni la wasiwasi and therefore issue ya kulishambulia gazeti instead of content does not make sense logically..... gazeti linashambuliwa based on the quality of the content.. ( mimi si mtaalamu wa magazeti and the filed as such lakini kuna vitu huwa vinaflow naturally hata bila kwenda shuele ya vitu hivyo.)
The validity of the magazine content can be proved with time as per raised issue.

Subiri hadi hiyo tar 3 ya kesi inayozungumziwa ndipo useme kuwa content ya gazeti ni kweli au la.

Wewe umehukumu kabla ya kuthibitisha,hapa ndipo poor intellectual inapoonekana.
 
Jana usiku wa manane nimeota kuwa kuna mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alikuwa ni mwenyekiti wa watu wasiojulikana enzi za utawala katili wa Kayafa.Ndugu zangu nilishtuka sana.
163763.jpg
 
View attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Sorry hiyo picha hapo front page ni yeye au ya waziri mkuu wa zamani? Msaada please kabla sijakomenti
 
Clouds walishamkana huyo Mwanasheria wenu uchwara naona anatafuta kick kupitia jina la Makonda na msifikiri Kila mtu anafurahia kuona mtu mwingine anateseka kwa sababu TU ya chuki za kisiasa na kuna maisha mengine nje ya siasa
Wewe inaonekana huna hata ile basic understanding ya sheria.

Tangu lini mtu binafsi akampeleka mahakamani mtuhumiwa wa kosa la jinai?

Huyo aliyesema kuwa Clouds hawajamshtaki Makonda, ni mjinga kama mlivyo ninyi wengine.

Wewe mtu binafsi unaweza kupeleka mashtaka yako kwa makosa ya madai na siyo jinai.

Makonda kama anashtakiwa kwa makosa ya jinai, ina maana anashtakiwa na Jamhuri, wengine wote wanakuwa mashahidi.
 
View attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Kabaki kipeke yake
 
Back
Top Bottom