Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wakumaliza hiyo kesi ni Profesa Kitila Mkumbo na Kubenea mwenyewe.Hiyo kampuni aliyosaini nao MOU labda waje kutetea huko mkataba haukusainiwa Nairobi kitu ambacho si rahisi kujiingiza kwenye hizo risk za udanganyifu.
Kuvuka mpaka na kurudi kwa njia za panya ni kosa na hizo documents plus Kubenea kushindwa kudhibitisha alipokuwa hizo siku ndio msala wenyewe.
Kwani anagombea wapi?Kubenea ndo mwisho wa safari yake ya ubunge?
Umri wwako tafadhari, maana naona mada kama imekuzidi! Je, unajua maana ya alama hizi "...." katka uandishi?Kauzaje nchi?Ana hati za ardhi ambazo anaweza kuuza na sehemu ya Tanzania ikawa inamilikiwa na wakenya?Nieleweshe hapo!
Na lengo kuu ni hilo kumpotezea Muda ili kumpunguzia ushindani Abbas TarimbaKwa vyovyote vile, kama 'wana kazi naye' watampotezea muda wake kipindi hiki... hayo mambo ya ushahidi ni baadaye sana huko.
Jikite kwenye kujibu swali langu,anauzaje nchi?Huko kuzungukazunguka hakuna maana,just hit it!Umri wwako tafadhari, maana naona mada kama imekuzidi! Je, unajua maana ya alama hizi "...." katka uandishi?
Ndio, huyu ni mzee wa hali halisiWacha apambane na Hali
Hivi kila zama zina akina MUSIBA?Wacha aisome namba mpuuzi Sana huyu jamaa
Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.
KweliKama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Huyu ni mwana siasa wa upinzania....Robert aandae vizuri makabrasha yake isijesemwa kuna ufichaji taarifa za kukamatwa kwake Said.Naomba kuuliza. Hivi kwa kila mashitaka ambayo 'dipipii' anaidhinisha huwa anatoa taarifa kwa vyombo vya habari?
Uje na orodha ya mikopo yake pia kabla ya kiinua mgongo!Kubenea kapokea kiinua mgongo zaidi ya TZS 200 million, kufanya money laundering ya TZS 28 million haijaeleweka
dOCUMENTS ZA SAFARI ZINAONGEA AFTER40 HOTEL IKO NAIROBI MTAA WA BIASHARA NA KOINANGE, ACHA UKANJANJA MLIZOE VYA KUNYONGA, MWISHO WENU UMEFIKAHapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko ccm huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Passport sio ushahidi peke yake unaokubalika mahakamani kuthibitisha international movement. Ingekuwa hivyo basi wazamiaji wanaorudishwa kutoka bondeni wangekuwa hawashitakiwi wakifika Tanzania kwa sababu wengi wao huwa wanabinjuka bila passport.Ndio maana nimekwambia hii ni kesi dhaifu, hakuna ushahidi wa passport ya Kubenea kutoka nje ya nchi.
Hakuna kosa lolote ndani ya Tanzania kulipana pesa kwa foreign currency.
Dpp hawezi kushinda kesi hii kwenye court of law. Ni kesi ya hisia tu kuliko uhalisia.
Mahakamani lazima uiridhishe mahakama pasi na shaka yoyote jinai iliyotendwa na mshtakiwa.
Tusijump into conclusion bado mapema sana sasa hv,usikute ni deal wamecheza na wahusika wametengeneza scandal ya money laundering kalipwa chake ili asiendelee kugombea Ubunge.Lengo sio kumfunga hapo lengo lao ni kumkomoa kwa kumpotezea muda tu.
Ila unafiki wake umemlipaWacha aisome namba mpuuzi Sana huyu jamaa
Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.
SHERIA ZA UHAMIAJI ZINAKUTAKA UKIVUKA MIPAKA NA PESA ZA KIGENI ZAIDI YA EQUIVALENT YA USD 10,000 LAZIMA UTOE TAMKO, TULIENI DAWA IWAINGIEHapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko ccm huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Ni ajali ya kisiasaI see, pole kwake kaka Saed Kubenea.
Wacha aisome namba mpuuzi sana huyu jamaa
Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.
Na upepo huu ulivyo mbaya....Huyu kubenea mbona anafanya mambo kishamba kama hakusoma?
Na hivi sheria inataka udeclare amount kiasi gani na kwanini atumie njia za panya kuingia na kutoka Tz?