Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wakumaliza hiyo kesi ni Profesa Kitila Mkumbo na Kubenea mwenyewe.Hiyo kampuni aliyosaini nao MOU labda waje kutetea huko mkataba haukusainiwa Nairobi kitu ambacho si rahisi kujiingiza kwenye hizo risk za udanganyifu.
Kuvuka mpaka na kurudi kwa njia za panya ni kosa na hizo documents plus Kubenea kushindwa kudhibitisha alipokuwa hizo siku ndio msala wenyewe.
Kwani yule mgombea wa Chadema si bado yuko out? Au tume imemrejesha?