Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Hiyo kampuni aliyosaini nao MOU labda waje kutetea huko mkataba haukusainiwa Nairobi kitu ambacho si rahisi kujiingiza kwenye hizo risk za udanganyifu.

Kuvuka mpaka na kurudi kwa njia za panya ni kosa na hizo documents plus Kubenea kushindwa kudhibitisha alipokuwa hizo siku ndio msala wenyewe.
Wakumaliza hiyo kesi ni Profesa Kitila Mkumbo na Kubenea mwenyewe.

Kwani yule mgombea wa Chadema si bado yuko out? Au tume imemrejesha?
 
Kauzaje nchi?Ana hati za ardhi ambazo anaweza kuuza na sehemu ya Tanzania ikawa inamilikiwa na wakenya?Nieleweshe hapo!
Umri wwako tafadhari, maana naona mada kama imekuzidi! Je, unajua maana ya alama hizi "...." katka uandishi?
 
Umri wwako tafadhari, maana naona mada kama imekuzidi! Je, unajua maana ya alama hizi "...." katka uandishi?
Jikite kwenye kujibu swali langu,anauzaje nchi?Huko kuzungukazunguka hakuna maana,just hit it!
 
Wacha aisome namba mpuuzi Sana huyu jamaa


Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.
Hivi kila zama zina akina MUSIBA?
umenikumbusha mbali sana, sijui ilikuwaje cdm ikamwamini mtu kama huyu aliyetumia magazeti yake vibaya
 
Naomba kuuliza. Hivi kwa kila mashitaka ambayo 'dipipii' anaidhinisha huwa anatoa taarifa kwa vyombo vya habari?
Huyu ni mwana siasa wa upinzania....Robert aandae vizuri makabrasha yake isijesemwa kuna ufichaji taarifa za kukamatwa kwake Said.
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko ccm huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
dOCUMENTS ZA SAFARI ZINAONGEA AFTER40 HOTEL IKO NAIROBI MTAA WA BIASHARA NA KOINANGE, ACHA UKANJANJA MLIZOE VYA KUNYONGA, MWISHO WENU UMEFIKA
 
Ndio maana nimekwambia hii ni kesi dhaifu, hakuna ushahidi wa passport ya Kubenea kutoka nje ya nchi.

Hakuna kosa lolote ndani ya Tanzania kulipana pesa kwa foreign currency.

Dpp hawezi kushinda kesi hii kwenye court of law. Ni kesi ya hisia tu kuliko uhalisia.

Mahakamani lazima uiridhishe mahakama pasi na shaka yoyote jinai iliyotendwa na mshtakiwa.
Passport sio ushahidi peke yake unaokubalika mahakamani kuthibitisha international movement. Ingekuwa hivyo basi wazamiaji wanaorudishwa kutoka bondeni wangekuwa hawashitakiwi wakifika Tanzania kwa sababu wengi wao huwa wanabinjuka bila passport.

Amesha confess mwenyewe kwamba alikwenda Kenya. Labda afute kauli, aseme aliwadanganya polisi.

Amekutwa na tiketi za mabasi ya Kenya.

Amebeba mikataba ya kikazi na kibiashara dhidi ya gazeti lake na kampuni za media za Kenya

Amekamatwa na risiti za hoteli za Nairobi

Huo ushahidi ungetosha hata kumnyonga kwenye kesi ya murder .

Kesi ya Kabendeara ilibidi iwe somo tosha kwa watu wote kwamba ukiwa mkosoaji wa serikali basi you have to keep your nose clean, hasa kwenye masuala ya financial transactions. Mbunge, mhariri, public figure mkubwa unapitaje vichakani na dola 12,000 ? It's beyond preposterous.
 
Lengo sio kumfunga hapo lengo lao ni kumkomoa kwa kumpotezea muda tu.
Tusijump into conclusion bado mapema sana sasa hv,usikute ni deal wamecheza na wahusika wametengeneza scandal ya money laundering kalipwa chake ili asiendelee kugombea Ubunge.

Nikimfikiria Joshua Nasari huwa haya matukio siyaamini kivile.
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko ccm huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
SHERIA ZA UHAMIAJI ZINAKUTAKA UKIVUKA MIPAKA NA PESA ZA KIGENI ZAIDI YA EQUIVALENT YA USD 10,000 LAZIMA UTOE TAMKO, TULIENI DAWA IWAINGIE
 
Miaka hiyo ilikuwa haiwezekani Gazeti lake litoke bila ya kumtukana Kikwete, Mkapa au Zitto

Ukibishana na BAvicha reference yao ilikuwa Kubenea
Wacha aisome namba mpuuzi sana huyu jamaa

Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.
 
Back
Top Bottom