Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Magufuli chsli yaani mchezo wao wa kipumbavu kabisa yote hiyo Kitila Mkumbo apite bila kupingwa
Kubenea hagombei Ubungo ni Kinondoni
Ubungo alikuwa JACOB kawekewa pingamizi na jamaa wa Act katolewa
 
Umeongea busara tupu! Watawafanyia hata watu wetu! Tusiliunge mkono hili! Ni uonevu in a most likely scenario!
 
Hizi pesa hazikuwa za kubenea,sema yy alibeba tu mzigo ,roho inaniuma sana Ila kesi ni laini atashinda na fedha zitaenda kwa mwenyewe
 
Ndio maana wanataniwa kuwa ni nyumbu, hawaelewi vitu rahisi kama mada hii!
 
Wacha aisome namba mpuuzi sana huyu jamaa

Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.
technically , naomba nipishane kidogo na wewe rafiki yangu. Kwa utawala huu, si ajabu amebambikiwa mavitu kama ilivyo kawaida yao! Kesho watakuja kwako, mimi, yule etc! Maadam utawala huu umefitinika na kuwabambikia makesi ya kugushi, tusiamii lolote! We have to sympathise with him!
 
Tulitunga Sheria za nini sasa kama ndio hivyo?
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
[/Q
 
Na wewe Fanya kama kubenea
 
Wacha tusikie upande wa pili Tanpol ni waongo zaidi ya shetani.
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Hili ndilo swali nililokuwa najiuliza. Hapo polisi walipaswa wajiridhishe tu kama huko Kenya alienda kihalali kwa kukagua passport yake bass. Ila kwa upande wa uvushaji pesa hapo jamaa wamepata sababu though ni kiwango cha kawaida sana kusema ni ishu ya money loundering
 
Kaa kimya, kina Tito Magoti wanaozea sello kwa kutakatisha laki saba tu!
 
Wacha aisome namba mpuuzi sana huyu jamaa

Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.
Hilo jamba linanifanya nimkimbuke muda wote na alitumika kweli kupiti gazeti lake kama Musiba wote sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…