Utawala wa sheria mzuri kuudai tu. Angekuwa Lema hapo, Lisu angesahau kabisa mambo ya utawala wa sheria.Ngoja tuone
Tungeandamana nchi nzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawala wa sheria mzuri kuudai tu. Angekuwa Lema hapo, Lisu angesahau kabisa mambo ya utawala wa sheria.Ngoja tuone
Kama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Ulitaka amwambie nani?Kwanini hakutaka kusema juu ya safari yake? Huo ndo mwanzo wa njama kwamba alikuwa na lengo baya.
Kubenea hagombei Ubungo ni KinondoniMagufuli chsli yaani mchezo wao wa kipumbavu kabisa yote hiyo Kitila Mkumbo apite bila kupingwa
Umeongea busara tupu! Watawafanyia hata watu wetu! Tusiliunge mkono hili! Ni uonevu in a most likely scenario!Pamoja na kuwa alijitoa CHADEMA na kujiunga ACT-Wazalendo, hii isiwe sababu ya sisi wa upande wa upinzani kufurahia yaliyomkuta kwani safari ya kuelekea Oktoba 28 bado inaendelea.
La msingi kuliko yote ni kuwa,tusimuhumu ili hali hatujasikia chochote kutoka Kwake na tusiwe kama ni wageni katika nchi hii.
Subirini kuona hiyo kesi itavyoendeshwaa na zaidi hatima ya kesi yenyewe.
Tujipe muda
Wacha aisome namba mpuuzi sana huyu jamaa
Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.
Ndio maana wanataniwa kuwa ni nyumbu, hawaelewi vitu rahisi kama mada hii!Wakati mwingine mnajitoa ufahamu. Mtuhumiwa ameingia na kutoka nchini Kenya bila taarifa zake kuwapo mpakani. Ushahidi ni risiti ya Hotel aliyolala Nairobi, Memorandum of Understanding iliyosainiwa Nairobi na tiketi ya basi alilopanda toka Nairobi kwenda Namanga, unashangaa nini? maana yake Usafiri wake wa kwenda na kurudi ulikuwa ni wakuishia Namanga na kisha kuvuka kutumia njia za Panya, njia haramu.
technically , naomba nipishane kidogo na wewe rafiki yangu. Kwa utawala huu, si ajabu amebambikiwa mavitu kama ilivyo kawaida yao! Kesho watakuja kwako, mimi, yule etc! Maadam utawala huu umefitinika na kuwabambikia makesi ya kugushi, tusiamii lolote! We have to sympathise with him!Wacha aisome namba mpuuzi sana huyu jamaa
Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
[/Q
Na wewe Fanya kama kubeneatechnically , naomba nipishane kidogo na wewe rafiki yangu. Kwa utawala huu, si ajabu amebambikiwa mavitu kama ilivyo kawaida yao! Kesho watakuja kwako, mimi, yule etc! Maadam utawala huu umefitinika na kuwabambikia makesi ya kugushi, tusiamii lolote! We have to sympathise with him!
"Ukweli" kama huu unawahusu nini wakenya? na kwanini kila siku ni Gado na Tanzania?Kwamba huyo Mkurugenz anaandika ya uongo?
Hili ndilo swali nililokuwa najiuliza. Hapo polisi walipaswa wajiridhishe tu kama huko Kenya alienda kihalali kwa kukagua passport yake bass. Ila kwa upande wa uvushaji pesa hapo jamaa wamepata sababu though ni kiwango cha kawaida sana kusema ni ishu ya money lounderingHapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Hili ndilo swali nililokuwa najiuliza. Hapo polisi walipaswa wajiridhishe tu kama huko Kenya alienda kihalali kwa kukagua passport yake bass. Ila kwa upande wa uvushaji pesa hapo jamaa wamepata sababu though ni kiwango cha kawaida sana kusema ni ishu ya money loundering
Hii ni hatari sana, naikumbuka hasa kwen ye utawala wa late Mwl. Nyerere kuna watu mpaka sasa wanapata shida."I will deal with you perpendicularly".
"Ukweli" kama huu unawahusu nini wakenya? na kwanini kila siku ni Gado na Tanzania?
View attachment 1561746
Hilo jamba linanifanya nimkimbuke muda wote na alitumika kweli kupiti gazeti lake kama Musiba wote sawa!Wacha aisome namba mpuuzi sana huyu jamaa
Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.