Hii ni post yenye akili kuliko zote.Vitu vingi vinakua haviingii kabisa kichwani, yaani moja haikai mbili nayo tia maji. Katika kipindi kama hiki kwa nini mtu anakuwa anakosa umakini na kuacha nafasi za kutunguliwa, ni kama kumpa adui yako risasi ilhali unajua kwamba given a chance anakumaliza.
Kubea hagombei hukoWakumaliza hiyo kesi ni Profesa Kitila Mkumbo na Kubenea mwenyewe.
Kwani yule mgombea wa Chadema si bado yuko out? Au tume imemrejesha?
Kubenea anagombea na Abbas Tarimba na si Kitila Mkumbo jaribu walau kuwa uptodate na habari za mjiniMagufuli chsli yaani mchezo wao wa kipumbavu kabisa yote hiyo Kitila Mkumbo apite bila kupingwa
Lugha nyepesi ni kwamba katoka na kuingia Tanzania kinyume cha sheriaPolitics at its worst.
Inawezekanaje mtu umkamatie Tanzania halafu useme kaingia Tanzania kinyume cha sheria ?
Bado ni vihela vidogo sana kiongozi. ..(KES 491,700 X 23) + (USD 8000 x 2314) = TZS 28,411,327.80.
Sjakuelewa unasimamia wapi?
Mind you hakuna kesi ndogo..kesi inakua ndogo ikiisha
swala la kutangaza anauwezo nalo yan liko ndani ya uwezo wakeI know.
Mimi nasimamia kwenye taarifa zinazotoka na hii taarifa kwanza ilitakiwa itolewe na polisi ambao ni wakamataji.
Pili, hakukuwa na haja ya DPP kujitokeza kuelezea kuhusu hii kesi kwani yeye siku zote huwa "behind the scenes" kuelekeza mashtaka yatakayowasilishwa mahakamani na upande wa mashtaka.
DPP kazi yake ni kuona kama kuna ushahidi wa kutosha kupeleka kesi mahakamni au hakuna kesi na kufuta mashtaka kutokana na kukosekana ushahidi.
Nazungumzia kutoka kwenye kona ya udadisi.
Naona kama vile kuna kujimwambafwai fulani hivi kwa baadhi ya watu ambao wanaamua kufanya kitu chaitwa "making a meal" kwenye masuala fulani wakti huu wa uchaguzi.
Au wewe umeelewa vipi?
Mkuu mgunga pori DPP amesema 'Niidhinisha mashitaka yafuatayo..' Maana yake ameridhika na hayo mashitaka.. kimsingi sidhani kama kuna mwingine atatoka nje ya hapo.. Wata - 'revolve around ' hapo tu.. ijapokuwa wanaweza kumwekea mashitaka mengi lakini msingi umetokea kwenye hayo mawili..Mkuu hiyo si charge sheet
swala la kutangaza anauwezo nalo yan liko ndani ya uwezo wake
af polisi aishtaki mtu dpp ndo mwenyeuwezo huo
sawa mkuu
Sasa wewe ni Kubenea hadi unaitimisha kwamba alivuka mpaka wakati mwenyewe anasema alikuwa Tanzania?! The problem unachanganya kati ya "maelezo ya Kubenea" kwa polisi na "maelezo ya DPP"!!Wewe sio Kubenea kwa nini u assume? kwanini assumption zako ziwe sababu ya kuonyesha DPP amekosea kumpeleka mahakamani? Ndio maana nikaeleza maelezo ya Kubenea polisi sio hizo assumption zako tusubiri huo utetezi wake.
Hayo hapo ndo maelezo ya Kubenea, kwa maana nyingine anakana suala la yeye kwenda na kutoka Kenya!!!...mtuhumiwa alieleza kuwa alifika mkoani Arusha tarehe 2/9/2020 akitokea Dar es Salaam na kufikia katika hoteli iliyopo Arusha mjini. Alieleza zaidi kuwa, tarehe 3/9/2020, alienda kulala kwa Kaka yake tarehe 3/9/2020, na tarehe 4/9/2020 alienda Namanga na kupokea fedha taslimu tajwa hapo juu kutoka kwa raia wa Kenya.
Ni wapi mimi nimekataa maelezo ya Kubenea? nimekwambia maelezo yake hayo ndiyo yamesababisha apelekwe mahakamani sababu yanatofatiana na ushahidi wa nyaraka alizokutwa nazo na upelelezi uliofanywa na Polisi. Ugumu uko wapi kuelewa hapo? Maelezo yake anadai alifikia Hotelini na kisha kwa kaka yake, hotelini aliyotaaja hakuna rekodi yake kwenye register na kaka yake hana taarifa. Kuna nyaraka za hotel aliyofikia Nairobi na tiketi yenye jina lake aliyosafiria toka Nairobi. Lakini pia hakuna taarifa mpakani ya yeye wala mgeni wake anayedai kumletea pesa kuwa alivuka mpakani. Hutaki kuamini ya wataalam waliopeleleza bali unatulazimisha tuamini ya mtuhumiwa na assumptions zako !!! tusubiri maamuzi ya Mahakama tuache kutengeneza dhania, ati alitaka kuwaingiza mkenge wabia wake.Sasa wewe ni Kubenea hadi unaitimisha kwamba alivuka mpaka wakati mwenyewe anasema alikuwa Tanzania?! The problem unachanganya kati ya "maelezo ya Kubenea" kwa polisi na "maelezo ya DPP"!!
Jamaa ni mjinga sana. Eti mtu umeingia kwa njia za panya Tanzania basi usikamatwe kwa vile ndio upo nyumbani, ndio hoja yake apo ilipoegemea.Mwambie jirani akikupiga risasi hapati murder case maana ana kisingizio ulikua mwizi. Mtu huwezi kupitia dirishani kuingia nyumbani kwako. Jamaa anamtukana Mwanasheria kisa kampa pole Kubenea. Kuna wajinga wengi sana hapa
Mkuu,Mtu yuko ndani ya nchi yake unawezaje kusema ameingia kiholela?
Hivi unadhani mahakamani kuna maboya kama wewe wa kuendesha kesi kwa kuhisi bila ushahidi usio na shaka?
Lete ushahidi wa Kubenea kwenda Kenya na kurudi kiholela.
Nani kakuambia sijaelewa?! Mjadala wetu ulianzia hapa, kwa kauli yako mwenyewe ulisema:-Ni wapi mimi nimekataa maelezo ya Kubenea? nimekwambia maelezo yake hayo ndiyo yamesababisha apelekwe mahakamani sababu yanatofatiana na ushahidi wa nyaraka alizokutwa nazo na upelelezi uliofanywa na Polisi. Ugumu uko wapi kuelewa hapo?
Nikakuuliza ina maana risiti, tiketi na MoU zinaweza kuwa ushahidi kwamba aliingia na kutoka KE kinyemela?! Nikakuuliza what if hizo risiti na tickets alikuwa nazo in advance ili tu baadae avute mpunga ofisini kuonesha alisafiri hadi KE na kulala hotelini lakini hakwenda KE na badala yake hata hiyo MoU na fedha aliletewa na mtu from KE hadi mpakani?!Wakati mwingine mnajitoa ufahamu. Mtuhumiwa ameingia na kutoka nchini Kenya bila taarifa zake kuwapo mpakani. Ushahidi ni risiti ya Hotel aliyolala Nairobi, Memorandum of Understanding iliyosainiwa Nairobi na tiketi ya basi alilopanda toka Nairobi kwenda Namanga, unashangaa nini? maana yake Usafiri wake wa kwenda na kurudi ulikuwa ni wakuishia Namanga na kisha kuvuka kutumia njia za Panya, njia haramu.
Nami nikakuambia unachosema wewe sio maelezo ya Kubenea bali ni maelezo ya DPP kwa sababu Kubenea amesema hakwenda Kenya, lakini "uchunguzi" wa DPP ndio unadai alienda Kenya kwa kutumia kigezo cha risiti na tiketi kama ulivyokuwa umesema wewe!Kumbuka Kubenea ametoa maelezo Polisi. Hayo uyasemayo siyo maelezomaliyotoa Polisi. Don't make speculations
Kwa maana nyingine, unapohoji "...Ni wapi mimi nimekataa maelezo ya Kubenea?" Hapo tayari inaonesha umekana maelezo ya Kubenea ambayo anasema hajaenda KE lakini unachukua maelezo ya DPP ambae ndie anasema Kubenea alienda Kenya!!!Ni maelezo ya Kubenea aliyotoa polisi au ni maneno ambayo DPP anadai ni matokeo ya uchunguzi wao?
Bado hiyo haithibitishi kwamba alienda Kenya!QUOTE="Chige, post: 36615451, member: 12993"]Kuna nyaraka za hotel aliyofikia Nairobi na tiketi yenye jina lake aliyosafiria toka Nairobi. [/QUOTE] Again, tiketi na risiti peke yake havithibitishi kwamba alienda Kenya! Aidha, wakati DPP anaeleza kwa kujiamini kabisa kwamba:Maelezo yake anadai alifikia Hotelini na kisha kwa kaka yake, hotelini aliyotaaja hakuna rekodi yake kwenye register na kaka yake hana taarifa.
Kwa upande mwingine ameshindwa kusema kama SAED AHMED KUBENEA alifikia katika hotel ya kule Nairobi, na badala yake ameishia kusema:-1. Mtuhumiwa SAED AHMED KUBENEA hakufikia katika hoteli aliyoitaja Arusha mjini, wala kulala kwa Kaka yake kama alivyoeleza.
Hapo inaonesha wazi wala hawana ushahidi kwamba alilala kwenye hiyo hotel zaidi tu ya ku-assume kwavile walimkuta na risiti ya hoteli husika basi alilala kwenye hiyo hotel!Lakini pia hakuna taarifa mpakani ya yeye wala mgeni wake anayedai kumletea pesa kuwa alivuka mpakani.[/QUOTE] Sasa taarifa zake zitakuwa vipi mpakani wakati anasema hakwenda Kenya?! Na kuna wakati nilikuuliza kama huyo jamaa wa Kenya alifunga pesa na docs zingine sehemu moja, kisha alipofika mpakani upande wa KE, hicho kifurushi alikirusha upande wa TZ alikokuwa Kubenea, ina maana hapo Kubenea atakuwa aliingia Kenya hadi mtake kukuta taarifa zake mpakani?Mara baada ya upekuzi, mtuhumiwa huyo alikutwa, pamoja na vitu vingine.... Risiti ya malipo ya hoteli iitwayo After 40 Hotels Limited iliyopo Nairobi, Kenya yenye jina la Kubenea, Saed Ahmed kama mgeni kuanzia tarehe 3/9/2020 hadi 5/9/2020 na. Pasi yake ya kusafiria (Passport).
Weka hapa maelezo ya hao watalaamu yanayothibitisha kwamba alilala kwenye hiyo hotel huko Kenya!Hutaki kuamini ya wataalam waliopeleleza bali unatulazimisha tuamini ya mtuhumiwa na assumptions zako !!!
Acha kufanya exaggeration... nimekuambia what kama hizo risiti alitaka ku-claim malipo kutoka kwa wabia wenzake?! Issue ni kwamba, kuwa na risiti HAKUTHIBITISHI kwamba alilala kwenye hotel husika, na kuna possibilities nyingi tu zinazoweza kumfanya awe na hiyo risiti lakini bila kulala hotel husika!!!tusubiri maamuzi ya Mahakama tuache kutengeneza dhania, ati alitaka kuwaingiza mkenge wabia wake.
Kubenea ni mwandishi pekee aliyewahi kuandika YASIYOANDIKIKA . INGEKUWA KIPINDI CHA HUYU NDULI ASIYEPENDA KUKOSOLEWA WALA KUSHAURIWA.Unaliona hili leo!
Again, tiketi na risiti peke yake havithibitishi kwamba alienda Kenya! Aidha, wakati DPP anaeleza kwa kujiamini kabisa kwamba:Nani kakuambia sijaelewa?! Mjadala wetu ulianzia hapa, kwa kauli yako mwenyewe ulisema:-
Nikakuuliza ina maana risiti, tiketi na MoU zinaweza kuwa ushahidi kwamba aliingia na kutoka KE kinyemela?! Nikakuuliza what if hizo risiti na tickets alikuwa nazo in advance ili tu baadae avute mpunga ofisini kuonesha alisafiri hadi KE na kulala hotelini lakini hakwenda KE na badala yake hata hiyo MoU na fedha aliletewa na mtu from KE hadi mpakani?!
Baada ya kukuuliza hayo, wewe mwenyewe tena ukadai:-Nami nikakuambia unachosema wewe sio maelezo ya Kubenea bali ni maelezo ya DPP kwa sababu Kubenea amesema hakwenda Kenya, lakini "uchunguzi" wa DPP ndio unadai alienda Kenya kwa kutumia kigezo cha risiti na tiketi kama ulivyokuwa umesema wewe!
Kwa maana nyingine, unapohoji "...Ni wapi mimi nimekataa maelezo ya Kubenea?" Hapo tayari inaonesha umekana maelezo ya Kubenea ambayo anasema hajaenda KE lakini unachukua maelezo ya DPP ambae ndie anasema Kubenea alienda Kenya!!!
Bado hiyo haithibitishi kwamba alienda Kenya!QUOTE="Chige, post: 36615451, member: 12993"]Kuna nyaraka za hotel aliyofikia Nairobi na tiketi yenye jina lake aliyosafiria toka Nairobi.
Ungemuuliza kama ana hiyo visa kwanini apite kwenye njia za panya? Watu kama hawa hua wanashikwa na mapolisi kwa ujinga kama huu. Kosa unajifanya unajua sheria kumbe unaivunja yhalafu polisi wanakusimamisha kwa kosa jingine katika kukuhoji na mengine yanatokea. Wengi huisha huko kwa wenye schengen kwa njia kama hii.Jamaa ni mjinga sana. Eti mtu umeingia kwa njia za panya Tanzania basi usikamatwe kwa vile ndio upo nyumbani, ndio hoja yake apo ilipoegemea.
Halafu aliponichokesha kudai kuwa eti ukiwa na shengen visa basi unatembea tu nchi zinazokubali hio visa, sasa nkajiuliza, huyu mtu anaelewa lakini anachozungumza? maana sijui kasoma wapi kama ukiwa na shengen visa basi unaweza kuingia nchi za watu bila kupitia border control. Nikamuuliza kama nkiwa na Visa ya USA halafu nkiingia USA bila kupitia border hawatonikamata? ndio nipo nasubiri majibu kutoka kwa "Mtaalamu" wa Immigration 😀 anaesema kuwa ukiwa na Shengen unazurura nchi unazotaka bila kupitia kwenye border za nchi husika.
Jpm yupi anayesimamia sheria kanuni na taratibu?Wapum.bavu mtaisoma namba mwaka huu, hakuna rangi hamtaiona, alitumwa kurekebisha pesa na mengineyo ya kampeni, jiiteni Chama Cha Wananchi tu kama Yanga ilivyohiita Timu ya Wananchi wakati ilipikuwa inategemea kutembeza bakuli kwa wananchi kujiendesha.
Mlipitishia kwa wale watetezi wenu wa haki za usho.ga wao wanaita haki za binadamu, accounts zikazuiwa na wakatangaza kusitisha shughuli zao nchini, huko nako mnakotegemea hakitapita kitu jipangeni, JPM anawaonesha ni jinsi gani yuko makini linapokuja swala la usalama wa Taifa, lakini pia kusimamia sheria, kanuni na taratibu.