Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Uchaguzi ubungo ni mwiba kwa cha ma tawala, watu walibomolewa nyumba huko hasira zao zinawaka bado , solution ni kumwengua side kubena ili ampite wao, maelekezo toka juu
 
Masikini kubenea, ubunge Kwisha.ACT wameshapoteza mgombea tayari hapo kinondoni
 
Uchaguzi ubungo ni mwiba kwa cha ma tawala, watu walibomolewa nyumba huko hasira zao zinawaka bado , solution ni kumwengua side kubena ili ampite wao, maelekezo toka juu
Kubenea anagombea kinondoni siyo ubungo bwashee!
 
Ndio maana nimekwambia hii ni kesi dhaifu, hakuna ushahidi wa passport ya Kubenea kutoka nje ya nchi.

Hakuna kosa lolote ndani ya Tanzania kulipana pesa kwa foreign currency.

Dpp hawezi kushinda kesi hii kwenye court of law. Ni kesi ya hisia tu kuliko uhalisia.

Mahakamani lazima uiridhishe mahakama pasi na shaka yoyote jinai iliyotendwa na mshtakiwa.
Yaani bado kosa la jamaa hujaliona tu?
 
Huyo jamaa alikataa kuunga mkono juhudi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hata hivyo huu utawala ni wa visasi tu kwa 100%.

Ali Malima alikuwa na kesi lkn alipotakiwa kuwa mkuu wa mkoa haraka haraka alifutiwa kesi kwa nole prosequi na kupewa ukuu wa mkoa Mara. Hii nchi imejaa uonevu sana na ndio maana haiwezi kuendelea.
 
Kubenea ni mwandishi pekee aliyewahi kuandika YASIYOANDIKIKA . INGEKUWA KIPINDI CHA HUYU NDULI ASIYEPENDA KUKOSOLEWA WALA KUSHAURIWA.
Anayepora KOROSHO
Ambaye taka watu
Angepigwa risasi hadharani
Kama mwanyika anagombea ubunge? Naye atatoka tuuuuuu
Ulikuwa bado mdogo muulize yaliyompata!
 
Mkuu mgunga pori DPP amesema 'Niidhinisha mashitaka yafuatayo..' Maana yake ameridhika na hayo mashitaka.. kimsingi sidhani kama kuna mwingine atatoka nje ya hapo.. Wata - 'revolve around ' hapo tu.. ijapokuwa wanaweza kumwekea mashitaka mengi lakini msingi umetokea kwenye hayo mawili..
Kwa muktaza huu basi wacha iwe na loope holes
Na mwishowe iwe defective
 
just to enlighten you guys. Mienendo ya ACT yote iliyo wazi na ile iliyofichika inawafikia wazee wa kazi. Mvujishaji nani? Endeleeni kuunganisha dot...

ndo wakome kupokeapokea watu wenye viapo vyao.
Mda utasema mkuu
 
Huyo jamaa alikataa kuunga mkono juhudi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hata hivyo huu utawala ni wa visasi tu kwa 100%.

Ali Malima alikuwa na kesi lkn alipotakiwa kuwa mkuu wa mkoa haraka haraka alifutiwa kesi kwa nole prosequi na kupewa ukuu wa mkoa Mara. Hii nchi imejaa uonevu sana na ndio maana haiwezi kuendelea.
Itakuwa labda Adam Malima...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mkurugenzi wa Mashataka atoe ufafanuzi, na kama hajui kiingereza aseme tumtafsirie

Currency Import regulations:

Residents of Tanzania, Kenya or Uganda may import local currency (Tanzanian Shilling-TZS) up to the amount exported. Non-residents are prohibited of importing local currency. Residents and non-residents may import foreign currencies without restrictions.

Currency Export regulations:

Residents of Tanzania, Kenya or Uganda may export local currency (Tanzanian Shilling-TZS) up to TZS 1,000.-. Non-residents are prohibited of exporting local currency. Residents and non-residents may export foreign currencies without restrictions.
 
Back
Top Bottom