Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana ipi sasa? Yaani munadhani binadamu wako CCM na CHADEMA tu! Shiiit!Laana ya usaliti ndio inajidhihirisha.
Pole Saed.
Kuwasaliti akina nani? ukabila tu unawasumbua!Hivi kubenea nae alitusaliti?
Kubenea anagombea kinondoni siyo ubungo bwashee!Uchaguzi ubungo ni mwiba kwa cha ma tawala, watu walibomolewa nyumba huko hasira zao zinawaka bado , solution ni kumwengua side kubena ili ampite wao, maelekezo toka juu
Anaendelea kuwa mgombea hadi mahakama itakapomkuta ana hatia.Masikini kubenea, ubunge Kwisha.ACT wameshapoteza mgombea tayari hapo kinondoni
Yaani bado kosa la jamaa hujaliona tu?Ndio maana nimekwambia hii ni kesi dhaifu, hakuna ushahidi wa passport ya Kubenea kutoka nje ya nchi.
Hakuna kosa lolote ndani ya Tanzania kulipana pesa kwa foreign currency.
Dpp hawezi kushinda kesi hii kwenye court of law. Ni kesi ya hisia tu kuliko uhalisia.
Mahakamani lazima uiridhishe mahakama pasi na shaka yoyote jinai iliyotendwa na mshtakiwa.
$1000 au $10,000?kosa hapo siyo kuvuka mipaka ,ni kuwa na hizo $8000 za kigeni ,mpakani hutakiwi uvuke na zaidi ya $1000 kutokana na sheria za sasa
Ulikuwa bado mdogo muulize yaliyompata!Kubenea ni mwandishi pekee aliyewahi kuandika YASIYOANDIKIKA . INGEKUWA KIPINDI CHA HUYU NDULI ASIYEPENDA KUKOSOLEWA WALA KUSHAURIWA.
Anayepora KOROSHO
Ambaye taka watu
Angepigwa risasi hadharani
Kama mwanyika anagombea ubunge? Naye atatoka tuuuuuu
Kwa muktaza huu basi wacha iwe na loope holesMkuu mgunga pori DPP amesema 'Niidhinisha mashitaka yafuatayo..' Maana yake ameridhika na hayo mashitaka.. kimsingi sidhani kama kuna mwingine atatoka nje ya hapo.. Wata - 'revolve around ' hapo tu.. ijapokuwa wanaweza kumwekea mashitaka mengi lakini msingi umetokea kwenye hayo mawili..
Mda utasema mkuujust to enlighten you guys. Mienendo ya ACT yote iliyo wazi na ile iliyofichika inawafikia wazee wa kazi. Mvujishaji nani? Endeleeni kuunganisha dot...
ndo wakome kupokeapokea watu wenye viapo vyao.
Itakuwa labda Adam Malima...Huyo jamaa alikataa kuunga mkono juhudi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hata hivyo huu utawala ni wa visasi tu kwa 100%.
Ali Malima alikuwa na kesi lkn alipotakiwa kuwa mkuu wa mkoa haraka haraka alifutiwa kesi kwa nole prosequi na kupewa ukuu wa mkoa Mara. Hii nchi imejaa uonevu sana na ndio maana haiwezi kuendelea.
Mambo ya tindikakaliUlikuwa bado mdogo muulize yaliyompata!
Wameufuta uzi wetu wa 50k"Chicken are coming home to roost", Malcom X.
Yeah, wameufuta nafanya nao mawasiliano kujua shida ni nini na kipi kinatakiwa kufanyika ili kuurudisha uzi.Wameufuta uzi wetu wa 50k
Wameufuta uzi wetu wa 50k
Ooh ...!!! What happened?Yeah, wameufuta nafanya nao mawasiliano kujua shida ni nini na kipi kinatakiwa kufanyika ili kuurudisha uzi.
All shall be well.