Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kesi dhaifu sana hii, hizi ndio kesi za kuwapa ujiko mawakiliKama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Nakumbuka mzee wa jalalani alivyotoka safari ya nje na kugoma kukaa lockdown! Aligoma kabisa kwa kuamini yeye ni maarufu.Kama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Kwanini hakutaka kusema juu ya safari yake? Huo ndo mwanzo wa njama kwamba alikuwa na lengo baya.Uonevu tu huo
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Kubenea kapokea kiinua mgongo zaidi ya TZS 200 million, kufanya money laundering ya TZS 28 million haijaelewekaHizo lazima zitakuwa pesa za kampeni. Swali je; Nani huko Kenya anataka Kubenea awe mbunge na kwa manufaa gani? AU katumwa na nani?
Hajaonewa, tatizo ni mchoyo na mbinafsi.Uonevu tu huo
Kesi dhaifu sana hii, hizi ndio kesi za kuwapa ujiko mawakili
Nitashangaa sana kama wengi hamuoni udhaifu wa mashtaka haya.
Halafu Chadema wasivyoona mbali wanamkaanga mpinzani mwenzao. Ngoja kibao kigeuzwe akamatwe Mbowe.Mwendo wa kula kichwa kimoja kimoja maana hali ya siasa sio nzuri
Naamini wahusika wameisoma comment yako.Kama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Aliondoka kistaarabu sana, hakuongea pumba wakati anaondoka.Hivi kubenea nae alitusaliti?
Ndio maana nimekwambia hii ni kesi dhaifu, hakuna ushahidi wa passport ya Kubenea kutoka nje ya nchi.Hapo shitaka ni kuingiza pesa za kigeni kinyume na taratibu.