Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Barua nimeisoma yote wamemkamatia ndani huko kuvuka mpaka kinyemelea wamemkamataje ?rudia kusoma hiyo barua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barua nimeisoma yote wamemkamatia ndani huko kuvuka mpaka kinyemelea wamemkamataje ?rudia kusoma hiyo barua
Kama walivyofanya kwa marehemu Rudasingwa, si unakumbuka alivyouamwa hotelini Johannesburg? Hao ndio ma-spy wa Kagame, highly trained and talented. Wanaweza walimtafutia 'business partner' wakafanya biashara kwa muda kama mwaka mmoja hivi na 'kuzoeana', kisha akamuingiza mtegoni naye akakamatwa na kurudishwa Kigali kama tulivyoshuhudia juzi.Hivi yule wa 'hotel Rwanda' walimdanganya kitu gani hasa mpk wakamdaka kizembe namna ile mkuu?
Mkuu, umepata kijiti cha wapi!? Maana Jicho lilivyokutoka kijiti kitakuwa kikali sana hicho.Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko... huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
alikamatwa kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya maeneo ya Namanga akiwa kwenye basi la abiria, sasa huoni anatoka either Kenya maana yuko kwenye gari la abiriaBarua nimeisoma yote wamemkamatia ndani huko kuvuka mpaka kinyemelea wamemkamataje ?
Sasa alipitaje kwenye basi la abiria kinyemela ?alikamatwa kwenye mpaka wa Tanzania na kenya maeneo ya namanga akiwa kwenye basi la abiria ,sasa huoni anatoka either kenya maana yuko kwenye gari la abiria
Hivi unajuwa kwamba kulipia leseni ya drone ni $100?kosa hapo siyo kuvuka mipaka ,ni kuwa na hizo $8000 za kigeni ,mpakani hutakiwi uvuke na zaidi ya $1000 kutokana na sheria za sasa
Fuatilia tu huu uzi, 'mbele' ya uzi utaona tu mkuu.Fafanua mkuu. Au yule wa Serengeti?
Barua nimeisoma yote wamemkamatia ndani huko kuvuka mpaka kinyemelea wamemkamataje ?
Samehe tu mkuu, lugha ya malikia inasumbua wengi![emoji15][emoji848]
Aisee hapo kwa ''business partner' ndipo nimeanza kuelewa kiaina maana nimeshindwa kuelewa jamaa ameingiaje mikononi mwa PK kizembe namna aiseee.Kama walivyofanya kwa marehemu Rudasingwa, si unakumbuka alivyouamwa hotelini Johannesburg? Hao ndio ma-spy wa Kagame, highly trained and talented. Wanaweza walimtafutia 'business partner' wakafanya biashara kwa muda kama mwaka mmoja hivi na 'kuzoeana', kisha akamuingiza mtegoni naye akakamatwa na kurudishwa Kigali kama tulivyoshuhudia juzi.
Au mazungumzo ya simu. Kama alipanga mipango kwenye simu kuna uwezekeno wasiojulikana walikuwa wanafuatilia mazungumzo yake. Hsa hiki kipindi cha uchaguzi wanasiasa wengi simu zao zinafuatiliwa sana.Kwahiyo itakuwa hakuzideclare ili asilipe kodi. Lazima kunamtu amemchoma, maana polisi walijuaje yote hayo mpaka kumfuatilia?
Watanzania lazima tujifunze sheria,makosa upelekea kuanzishwa sheria ndio maana naeleza kuwa kutokana na umaarufu wa kubenea kama kweli alikwenda Kenya bila kufuata sheria ya kuingia au kutoka nchini iyo kesi itamsumbua,mwanasheria ameeleza kuwa alikwenda huko na kuna ushahidi wa makubaliano Fulani ya kampuni Fulani ya Kenya kushirikiana na kampuni za kubenea sasa mnajua kuwa ni wazi alikwenda Kenya hatujui kama alipitia mlangoni au dirishani na kama alipitia mlangoni aonyenye vyombo vya usalama vinafuatilia sana watu kutokana na uhatari wa MTU mwenyewe,nchi zote duniani zinafuatilia mienendo ya watu wenye mashaka nao kuhusiana na kuhatarisha usalama wa taifa.Mahakama inahitaji ushahidi wa Kubenea kwenda Kenya na kurudi kwa njia ya panya na si vinginevyo.
Kesi ya Zombe Jaji aliwaambia upande wa mashtaka wakawatafute wauwaji wawalete mahakamani, Zombe hakuuwa mtu lakini alishtakiwa kwa kesi ya mauwaji.
Wengi humu bado hamuelewi kwa nini watu wengi hawafungwi mahakamani bado hamjajuwa mahakama hasa huwa inahitaji nini ili kumfunga mtu.
Kwahiyo Watanzania wa Namanga hawaruhusiwi kupanda mabasi?alikamatwa kwenye mpaka wa Tanzania na kenya maeneo ya namanga akiwa kwenye basi la abiria ,sasa huoni anatoka either kenya maana yuko kwenye gari la abiria
mkuu we unataka kubishana tu ,mimi siyo polisi nasoma jinsi nilivyoelewa hiyo baruaSasa alipitaje kwenye basi la abiria kinyemela ?
Halafu chadema wasivyoona mbali wanamkaanga mpinzani mwenzao. Ngoja kibao kigeuzwe akamatwe Mbowe.
Kwa vyovyote itakavyokuwa, Kubenea anagombea ubunge, jimbo la Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo hivyo anahitaji pesa kuendesha kampeini. Inawezekana walinasa mazungumzo yake kwenye simu wakamlia dip la static surveillance/connaissance, kisha wakamuingiza king.Hii siyo fedha ya kampeni. Inaonekana pengine ana mkataba wa kampuni ya Kenya kwenye mambo ya habari na huwa wanamlipa. Hapa pengine alikwenda mara moja kuchukuwa mshiko wake.
We akili huna, hata kama wewe ni mtanzania kuna namna ya kuingia tanzania. Njia ya kuingia tanzania ni kupotia mpaka rasmi. Sasa yeye kaingia kupitia isivyo halali, ni lazima akamatwe kwa kuwa hawajui kabeba nini
Huwezi fuatiliwa wewe mkulima unayekwenda kuuza bidhaa zako sheria hii ni kwa watanzania wote ila inakuwa Kali sana kwa wale watu wanaohusishwa na kuihujumu serikali nje ya nchi, wewe si unafuataga wanawake Zambia utaambulia magonjwa tu.Yaani kyela uku ndiyo maisha yetu ya kila siku kwa ufupi ccm imefirisika kisiasa mmebakiza jambo moja kuchukua kodi za vitanda kwa wanandoa.