Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Hivi yule wa 'hotel Rwanda' walimdanganya kitu gani hasa mpk wakamdaka kizembe namna ile mkuu?
Kama walivyofanya kwa marehemu Rudasingwa, si unakumbuka alivyouamwa hotelini Johannesburg? Hao ndio ma-spy wa Kagame, highly trained and talented. Wanaweza walimtafutia 'business partner' wakafanya biashara kwa muda kama mwaka mmoja hivi na 'kuzoeana', kisha akamuingiza mtegoni naye akakamatwa na kurudishwa Kigali kama tulivyoshuhudia juzi.
 
Money laundering ndio habari ya Mjini, tunampongeza sana DPP kwa kazi nzuri ya kulinda Uchumi wa Nchi yetu na mipaka yake
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko... huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Mkuu, umepata kijiti cha wapi!? Maana Jicho lilivyokutoka kijiti kitakuwa kikali sana hicho.
 
alikamatwa kwenye mpaka wa Tanzania na kenya maeneo ya namanga akiwa kwenye basi la abiria ,sasa huoni anatoka either kenya maana yuko kwenye gari la abiria
Sasa alipitaje kwenye basi la abiria kinyemela ?
 
kosa hapo siyo kuvuka mipaka ,ni kuwa na hizo $8000 za kigeni ,mpakani hutakiwi uvuke na zaidi ya $1000 kutokana na sheria za sasa
Hivi unajuwa kwamba kulipia leseni ya drone ni $100?

Hapa maana yake hakuna uharamu kwa Mtanzania kuwa na US dollars ndani ya Tanzania.

Hivi vikesi vya kufikirika ndio vinampa sana ujiko wakili Kibatala wakati hata sisi wengine ambao hatujasoma sheria tunaona wazi hii ni kesi dhaifu kabisa
 
Barua nimeisoma yote wamemkamatia ndani huko kuvuka mpaka kinyemelea wamemkamataje ?

Kwa vyovyote vile, kama 'wana kazi naye' watampotezea muda wake kipindi hiki... hayo mambo ya ushahidi ni baadaye sana huko.
 
Kama walivyofanya kwa marehemu Rudasingwa, si unakumbuka alivyouamwa hotelini Johannesburg? Hao ndio ma-spy wa Kagame, highly trained and talented. Wanaweza walimtafutia 'business partner' wakafanya biashara kwa muda kama mwaka mmoja hivi na 'kuzoeana', kisha akamuingiza mtegoni naye akakamatwa na kurudishwa Kigali kama tulivyoshuhudia juzi.
Aisee hapo kwa ''business partner' ndipo nimeanza kuelewa kiaina maana nimeshindwa kuelewa jamaa ameingiaje mikononi mwa PK kizembe namna aiseee.
 
Kwahiyo itakuwa hakuzideclare ili asilipe kodi. Lazima kunamtu amemchoma, maana polisi walijuaje yote hayo mpaka kumfuatilia?
Au mazungumzo ya simu. Kama alipanga mipango kwenye simu kuna uwezekeno wasiojulikana walikuwa wanafuatilia mazungumzo yake. Hsa hiki kipindi cha uchaguzi wanasiasa wengi simu zao zinafuatiliwa sana.
 
Mahakama inahitaji ushahidi wa Kubenea kwenda Kenya na kurudi kwa njia ya panya na si vinginevyo.

Kesi ya Zombe Jaji aliwaambia upande wa mashtaka wakawatafute wauwaji wawalete mahakamani, Zombe hakuuwa mtu lakini alishtakiwa kwa kesi ya mauwaji.

Wengi humu bado hamuelewi kwa nini watu wengi hawafungwi mahakamani bado hamjajuwa mahakama hasa huwa inahitaji nini ili kumfunga mtu.
Watanzania lazima tujifunze sheria,makosa upelekea kuanzishwa sheria ndio maana naeleza kuwa kutokana na umaarufu wa kubenea kama kweli alikwenda Kenya bila kufuata sheria ya kuingia au kutoka nchini iyo kesi itamsumbua,mwanasheria ameeleza kuwa alikwenda huko na kuna ushahidi wa makubaliano Fulani ya kampuni Fulani ya Kenya kushirikiana na kampuni za kubenea sasa mnajua kuwa ni wazi alikwenda Kenya hatujui kama alipitia mlangoni au dirishani na kama alipitia mlangoni aonyenye vyombo vya usalama vinafuatilia sana watu kutokana na uhatari wa MTU mwenyewe,nchi zote duniani zinafuatilia mienendo ya watu wenye mashaka nao kuhusiana na kuhatarisha usalama wa taifa.
 
alikamatwa kwenye mpaka wa Tanzania na kenya maeneo ya namanga akiwa kwenye basi la abiria ,sasa huoni anatoka either kenya maana yuko kwenye gari la abiria
Kwahiyo Watanzania wa Namanga hawaruhusiwi kupanda mabasi?

Hivi ukikutana na mtu boda akakulipa deni lako wewe ukageuza kurudi Arusha shida iko wapi?

Je Mtanzania haruhusiwi kuwa na dollar mfukoni?
 
Hii siyo fedha ya kampeni. Inaonekana pengine ana mkataba wa kampuni ya Kenya kwenye mambo ya habari na huwa wanamlipa. Hapa pengine alikwenda mara moja kuchukuwa mshiko wake.
Kwa vyovyote itakavyokuwa, Kubenea anagombea ubunge, jimbo la Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo hivyo anahitaji pesa kuendesha kampeini. Inawezekana walinasa mazungumzo yake kwenye simu wakamlia dip la static surveillance/connaissance, kisha wakamuingiza king.
 
We akili huna, hata kama wewe ni mtanzania kuna namna ya kuingia tanzania. Njia ya kuingia tanzania ni kupotia mpaka rasmi. Sasa yeye kaingia kupitia isivyo halali, ni lazima akamatwe kwa kuwa hawajui kabeba nini

Kaingia vipi kupitia mpaka usio rasmi wakati kakamatwa katika basi? Ina maana Hilo basi ndilo lilipita mpaka ambao sio rasmi?

Hii taarifa iliyotolewa ni ya upande mmoja. Nadhani ni busara kusubiri mahakama itoe uamuzi kuliko kuanza kumhukumu mtuhumiwa.
 
Yaani kyela uku ndiyo maisha yetu ya kila siku kwa ufupi ccm imefirisika kisiasa mmebakiza jambo moja kuchukua kodi za vitanda kwa wanandoa.
Huwezi fuatiliwa wewe mkulima unayekwenda kuuza bidhaa zako sheria hii ni kwa watanzania wote ila inakuwa Kali sana kwa wale watu wanaohusishwa na kuihujumu serikali nje ya nchi, wewe si unafuataga wanawake Zambia utaambulia magonjwa tu.
 
Back
Top Bottom