dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Unamchukiaje anaekwambia uko uchi badala ya kumshukuru"Ukweli" kama huu unawahusu nini wakenya? na kwanini kila siku ni Gado na Tanzania?
View attachment 1561746
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamchukiaje anaekwambia uko uchi badala ya kumshukuru"Ukweli" kama huu unawahusu nini wakenya? na kwanini kila siku ni Gado na Tanzania?
View attachment 1561746
Watu wenye Akili za kushikiwa wanapenda sana huu msamiati(USALITI)Laana ya usaliti ndio inajidhihirisha.
Pole Saed.
Tena binafsi nilikuwa wala sifahamu kwamba kaondoka CDM... means hajatoka kwa fujo na mbwembwe!Na hata alivyoondoka CHADEMA, hakukashifu viongozi wa CHADEMA bali aliondoka kiistaarabu.
Hujui unachoongea subiri msumemo ukate inavyotakiwa.Safari mmekwama mmezoea kutakatisha fueza haramu nyie mbung'o.Acha Magubaba awanyoosheKwanini unaamini risiti ni proof kuwa alikuwa Nairobi?
1. Risiti ya Hotel: Alikuwa ana mpango wa kwenda kulala Nairobi akamwomba mwenyeji wake amchukulie chumba cha kulala halafu atakuja kumrudishia fedha zake. Lakini kwa bahati mbaya hakwenda hivyo mwenyeji akamletea mpaka pale mpakani ili amrudishie fedha zake. Pia tiketi ya basi alikuja nayo mwenyeji wake mpaka Namanga. ambako walisaini hiyo MoA.
Kweli kabisa.Kubenea alikua anagombea Kinondoni nasio ubungo, alihama jimbo.
Mahakamani hakuna povu na mihemko kama unayotoa. Hii ni kesi ndogo sana na haitaenda popote. Alikamatwa ndugu wa Rostam na ile mibundugu kipindi kile watu wakatoa mapovu unajua kesi iliishaje? Walikamatwa washukukiwa tukambiwa ni wahujumu uchami wanashirikiana na mabeberu kwenye migodi sasa hivi wanasubiri kuingia bungeni. Povu unalo wewe tu lakini wenzako wanajuana kwa vilembaHujui unachoongea subiri msumemo ukate inavyotakiwa.Safari mmekwama mmezoea kutakatisha fueza haramu nyie mbung'o.Acha Magubaba awanyooshe
Duuuh mkuu taratibu....Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Kampeni gani pesa hata haifikii 50 milioni???Atakuwa alienda kutafuta pesa za kufanyia kampeni, huu mchoro inawezekana atakuwa amechomwa na mtu wake wa karibu, kosa limefanywa kuwa kubwa kwasababu ya nafasi yake aliyokuwa nayo kisiasa, hapo hakuna dhamana na ndoto za ubunge ndio zimekwisha.
Na yeye sijui kabugi wapi maana hapo Namanga angeweza kabisa kubadilisha na kupata za madafu....Hapo shitaka ni kuingiza pesa za kigeni kinyume na taratibu.
Rubbish, pesa za kampeni milioni hata 30 haifikii wakati majuzi kiinua mgongo ni more than 100 milioni? Hebu punguzeni kumwaga upupu humu.Ninadhani amekuwa decoyed kama Kagame alivyofanya kwa Paul Rusesabagina (Hotel Rwanda Oscar Award recipient) hivi karibuni.
Pole Camaradie Kubenea utakuwa ulikwenda kusaka pesa za kampeini, ila siku hizi hawa jamaa wameziba na kufuatilia udhibiti wa kila mwanya/njia inayoweza kutoa upenyo kwa upinzani kupata uwezo wa kuendesha kampeini zao, ingawa wao waliisha kuvuna pesa za kampeini kupitia kwa mkataba wa akina Thobias Andengenye na Lugola, pamoja na mkataba wa manunuzi ya mbolea kupitia kwa wizara ya kilimo (Japhet Hassunga anahusika).
We akili huna, hata kama wewe ni mtanzania kuna namna ya kuingia tanzania. Njia ya kuingia Tanzania ni kupotia mpaka rasmi. Sasa yeye kaingia kupitia isivyo halali, ni lazima akamatwe kwa kuwa hawajui kabeba nini
Lofa moja wewe, ukitoka nchini lazima utoke kihalali na urudi kihalaliHapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Wewe ni mjinga wa kwanza kwa sababu mjinga wa mwisho ana nafuu, Shenghen counties unazurura nchi zote 12 ndani ya ulaya, halafu nyinyi manyani mnawaza kuwekeana mipaka mpaka dunia ya leo?basi hilo ni kosa, kila nchi ilinde mipaka yake. Baadae tunaanza kuona ugaidi unaingia nchini, halafu tunaanza kutafuta mchawi. wakati kuna maeneo tena yanajulikana watu wanapita na kupituka watakavyo
Punguza munkhari. Unatakiwa kuwa muelewa. Ubunge huwa siyo kwa manufaa ya mbunge binafsi bali kuna wadau wake pia. Kwa kawaida wadau ni watu wenye maslahi na ubunge wa mhusika hivyo huchangia pesa za kampeini. Suala la kiinua mgongo cha mbunge hiyo ni pesa binafsi ya mbunge, hailipwi kwa ajili ya kugharimia ubunge wa muhula unaofuata baada ya mbunge kumaliza muhula wa awali.Rubbish, pesa za kampeni milioni hata 30 haifikii wakati majuzi kiinua mgongo ni more than 100 milioni? Hebu punguzeni kumwaga upupu humu.
Kampeni za udiwani tu hizo million 30 zinaondoka na bado uchakavu unahitajika.Rubbish, pesa za kampeni milioni hata 30 haifikii wakati majuzi kiinua mgongo ni more than 100 milioni? Hebu punguzeni kumwaga upupu humu.
Jamaa nachomkubali siyo mnafkiKuna muda we popoma unatoa point sana