Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Kwanini unaamini risiti ni proof kuwa alikuwa Nairobi?
1. Risiti ya Hotel: Alikuwa ana mpango wa kwenda kulala Nairobi akamwomba mwenyeji wake amchukulie chumba cha kulala halafu atakuja kumrudishia fedha zake. Lakini kwa bahati mbaya hakwenda hivyo mwenyeji akamletea mpaka pale mpakani ili amrudishie fedha zake. Pia tiketi ya basi alikuja nayo mwenyeji wake mpaka Namanga. ambako walisaini hiyo MoA.
Hujui unachoongea subiri msumemo ukate inavyotakiwa.Safari mmekwama mmezoea kutakatisha fueza haramu nyie mbung'o.Acha Magubaba awanyooshe
 
Kubenea alikua anagombea Kinondoni nasio ubungo, alihama jimbo.
Kweli kabisa.
Mie sijasema alikuwa anagombea Ubungo. Alihamia ACT na kubadili jimbo yeye mwenyewe akisema alihama Ubungo sababu ya hiyo migogoro. Lakini ukweli niliouandika uko pale pale. Kuwa Chadema Ubungo iligawanywa nahuo mgogoro wao na kumekuwa na kambi iliyohamia ACT, iliyobaki lakini inasapoti akina Kubenea na hivyo kuhujumu CDM pamoja na Boni, na kambi ya Boni/Mbowe ambayo aliamua kutumia mabavu kumpokonya Kubenea jimbo.

Kambi ya Chadema iliyohamia ACT ndo imetoa mgombea ubunge wa ACT Ubungo na ndiyo iliyomuwekea Boni/Mbowe pingamizi lililomtoa Boni kwenye kugombea.
Boni amekata rufaa NEC kwa kuenguliwa kwake. Akishindwa hiyo rufaa, Ubunge Ubungo ni CCM vs ACT.
 
Hujui unachoongea subiri msumemo ukate inavyotakiwa.Safari mmekwama mmezoea kutakatisha fueza haramu nyie mbung'o.Acha Magubaba awanyooshe
Mahakamani hakuna povu na mihemko kama unayotoa. Hii ni kesi ndogo sana na haitaenda popote. Alikamatwa ndugu wa Rostam na ile mibundugu kipindi kile watu wakatoa mapovu unajua kesi iliishaje? Walikamatwa washukukiwa tukambiwa ni wahujumu uchami wanashirikiana na mabeberu kwenye migodi sasa hivi wanasubiri kuingia bungeni. Povu unalo wewe tu lakini wenzako wanajuana kwa vilemba
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Duuuh mkuu taratibu....
 
Atakuwa alienda kutafuta pesa za kufanyia kampeni, huu mchoro inawezekana atakuwa amechomwa na mtu wake wa karibu, kosa limefanywa kuwa kubwa kwasababu ya nafasi yake aliyokuwa nayo kisiasa, hapo hakuna dhamana na ndoto za ubunge ndio zimekwisha.
Kampeni gani pesa hata haifikii 50 milioni???
 
Ninadhani amekuwa decoyed kama Kagame alivyofanya kwa Paul Rusesabagina (Hotel Rwanda Oscar Award recipient) hivi karibuni.

Pole Camaradie Kubenea utakuwa ulikwenda kusaka pesa za kampeini, ila siku hizi hawa jamaa wameziba na kufuatilia udhibiti wa kila mwanya/njia inayoweza kutoa upenyo kwa upinzani kupata uwezo wa kuendesha kampeini zao, ingawa wao waliisha kuvuna pesa za kampeini kupitia kwa mkataba wa akina Thobias Andengenye na Lugola, pamoja na mkataba wa manunuzi ya mbolea kupitia kwa wizara ya kilimo (Japhet Hassunga anahusika).
Rubbish, pesa za kampeni milioni hata 30 haifikii wakati majuzi kiinua mgongo ni more than 100 milioni? Hebu punguzeni kumwaga upupu humu.
 
Kubenea uliyoyatafuta yamekupata
Kinyonga Uliingia CDM kwa ahadi kedekede
Ahadi zako za upepo wa vuli Uliondoka na upepo wa vuli
Tamaa imekuponza
All in all siungani na waliokukamata na kukupa kesi kwani siamini umetenda hayo
Kikubwa jifunze kuwa na kiasi
Usidanganyike haraka
Imani yako ni muhimu usiruhusu watu wakufanye ujitenge na a Mungu wako kufuata usichokijua
Poliii sana ndugu
 
We akili huna, hata kama wewe ni mtanzania kuna namna ya kuingia tanzania. Njia ya kuingia Tanzania ni kupotia mpaka rasmi. Sasa yeye kaingia kupitia isivyo halali, ni lazima akamatwe kwa kuwa hawajui kabeba nini

Unajishushia sana heshima kumjibu
 
Mtu mwingine atakayefanyiwa mchezo mchafu kama walivyomfanyia Said Kubenea ni @IamJongwe__ Joseph Mbilinyi (Sugu) . Yasemekana TISS walikwisha mpa mzigo ili ahamie CCM lakini hakuhama. Chukueni tahadhari mapema. @ChademaTz Kigogo2014.
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Lofa moja wewe, ukitoka nchini lazima utoke kihalali na urudi kihalali
 
basi hilo ni kosa, kila nchi ilinde mipaka yake. Baadae tunaanza kuona ugaidi unaingia nchini, halafu tunaanza kutafuta mchawi. wakati kuna maeneo tena yanajulikana watu wanapita na kupituka watakavyo
Wewe ni mjinga wa kwanza kwa sababu mjinga wa mwisho ana nafuu, Shenghen counties unazurura nchi zote 12 ndani ya ulaya, halafu nyinyi manyani mnawaza kuwekeana mipaka mpaka dunia ya leo?

You're an idiot.
 
Rubbish, pesa za kampeni milioni hata 30 haifikii wakati majuzi kiinua mgongo ni more than 100 milioni? Hebu punguzeni kumwaga upupu humu.
Punguza munkhari. Unatakiwa kuwa muelewa. Ubunge huwa siyo kwa manufaa ya mbunge binafsi bali kuna wadau wake pia. Kwa kawaida wadau ni watu wenye maslahi na ubunge wa mhusika hivyo huchangia pesa za kampeini. Suala la kiinua mgongo cha mbunge hiyo ni pesa binafsi ya mbunge, hailipwi kwa ajili ya kugharimia ubunge wa muhula unaofuata baada ya mbunge kumaliza muhula wa awali.
Ukitaka kujua ingia uone; ukilipwa kiinua mgongo tumia kugharimia muhula mwingine wa ubunge uone mziki wake.
 
Rubbish, pesa za kampeni milioni hata 30 haifikii wakati majuzi kiinua mgongo ni more than 100 milioni? Hebu punguzeni kumwaga upupu humu.
Kampeni za udiwani tu hizo million 30 zinaondoka na bado uchakavu unahitajika.

Wewe umewahi kuwa kwenye serious campaign team yoyote?

Unajuwa gharama za kuwalipa posho mawakala kwa jimbo zima?

Unajuwa gharama za PA kwa kila mkutano?

Unajuwa gharama za kuihudumia team yako ya kampeni kwa miezi miwili?

Unajuwa gharama za kuwachangia cash wananchi wa makundi mbalimbali watakaokufuata kukuomba msaada kabla ya siku ya kupiga kura?

Have a seat brother hujui lolote.
 
ametumia njia za panya lakini amekutwa na tiketi ya basi , ni basi gani linapita porini ?
 
Back
Top Bottom