Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Huyu kubenea aliijichomolea mwenyewe betri kipindi kile alichotaka kumtoa mbowe uwenyekiti pale ndipo alipokosea step, mtu aliteswa Sana na Ccm aliumizwa mno, akaamua kwenda chadema na chadema ikawampa ubunge alipaswa aishikirie chadema Kama mboni Ya jicho lake na Nina Uhakika hata Sasa angerud bungeni kupitia chadema ila sijui aliingiaje ule ujinga aisee, Halafu akakimbia akaenda Kwa zito alipaswa kurud tu Ccm akakosea tena kwenda Kwa Yule janja janja wa zito hapo sasa ndio habari yake inaishia sasa
 
Hivi lisu yeye pess zake za kampeni analetewa na nani kutoka kule kwa Amsterdam maan nasikia hadi anakodisha ndege
Sio alikuja nazo kwenye sanduku siku ile😉😉😉
 
Rubbish, pesa za kampeni milioni hata 30 haifikii wakati majuzi kiinua mgongo ni more than 100 milioni? Hebu punguzeni kumwaga upupu humu.
Nyingi sana hizo kwa kampeni ya jimbo.
 
Bado hajahukumiwa
Najua kuwa mpaka sasa yeye ni mtuhumiwa tu; hana hatia yoyote mpaka mahakama iamue. Lakini je atapigaje kampeini wakati akiwa mahabusu? Halafu sheria zetu za mahabusu ni za kiwehu kweli kwani anaweza kukaa mahabusu hadi baada ya uchacgudi kabla hajapelekwa mahakamani
 
Kesi dhaifu sana hii, hizi ndio kesi za kuwapa ujiko mawakili

Nitashangaa sana kama wengi hamuoni udhaifu wa mashtaka haya.
Sio mwanasheria ila sioni kesi
Otherwise Kubenea sio MTz
Amekamatiwa ndani ya Tz
Usd less than 10K

Kwanini wanaanzisha kesi ili serkali ishindwe? Then ilipe fidia, hizo hela za kulipa ni za nani? Alipe muanzishaji wa kesi ambayo iko poorly formulated
 
Huyu kubenea aliijichomolea mwenyewe betri kipindi kile alichotaka kumtoa mbowe uwenyekiti pale ndipo alipokosea step, mtu aliteswa Sana na Ccm aliumizwa mno, akaamua kwenda chadema na chadema ikawampa ubunge alipaswa aishikirie chadema Kama mboni Ya jicho lake na Nina Uhakika hata Sasa angerud bungeni kupitia chadema ila sijui aliingiaje ule ujinga aisee, Halafu akakimbia akaenda Kwa zito alipaswa kurud tu Ccm akakosea tena kwenda Kwa Yule janja janja wa zito hapo sasa ndio habari yake inaishia sasa
'Snitch' anavuna alichokipanda!
 
Kumbe ile idara maalum ya "Special Branch" bado ipo na inafanya kazi yake sawasawa.

Ila, hii ya kumwachia mtu avuke mpaka uso rasmi aingie nchi jirani, kisha mumsubiri arudi ndipo mumkamate sidhani kama ipo sawa.
 
Wewe ni mjinga wa kwanza kwa sababu mjinga wa mwisho ana nafuu, Shenghen counties unazurura nchi zote 12 ndani ya ulaya, halafu nyinyi manyani mnawaza kuwekeana mipaka mpaka dunia ya leo?

You're an idiot.
Sasa sijui nani mjinga, yule ambae anasema mipaka inalindwa na lazima upite kwa utaratibu ama yule anaesema kuwa unaingia na kutoka tu katika nchi za watu au zko bila kupitia boda.

Upumb.avu wako ni next level, kwaio nkiwa na visa ya USA naweza kuingia USA kwa njia za holela na wakinikamata wataniachia sio? 😀
 
Sio mwanasheria ila sioni kesi
Otherwise Kubenea sio MTz
Amekamatiwa ndani ya Tz
Usd less than 10K

Kwanini wanaanzisha kesi ili serkali ishindwe? Then ilipe fidia, hizo hela za kulipa ni za nani? Alipe muanzishaji wa kesi ambayo iko poorly formulated
so ultaka akamatiwe wapi?
 
Kumbe ile idara maalum ya "Special Branch" bado ipo na inafanya kazi yake sawasawa.

Ila, hii ya kumwachia mtu avuke mpaka uso rasmi aingie nchi jirani, kisha mumsubiri arudi ndipo mumkamate sidhani kama ipo sawa.
ultaka wamfate hukohuko kenya?
 
Kumbuka Kubenea ametoa maelezo Polisi. Hayo uyasemayo siyo maelezomaliyotoa Polisi. Don't make speculations
Ni maelezo ya Kubenea aliyotoa polisi au ni maneno ambayo DPP anadai ni matokeo ya uchunguzi wao?
 
Back
Top Bottom