Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
😂😂Watu wenye Akili za kushikiwa wanapenda sana huu msamiati(USALITI)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Watu wenye Akili za kushikiwa wanapenda sana huu msamiati(USALITI)
Sio alikuja nazo kwenye sanduku siku ile😉😉😉Hivi lisu yeye pess zake za kampeni analetewa na nani kutoka kule kwa Amsterdam maan nasikia hadi anakodisha ndege
Wewe una gubu.Kushikwa kwa kubenea ni pigo kubwa kwa Lisu
Nyingi sana hizo kwa kampeni ya jimbo.Rubbish, pesa za kampeni milioni hata 30 haifikii wakati majuzi kiinua mgongo ni more than 100 milioni? Hebu punguzeni kumwaga upupu humu.
Bado hajahukumiwaNimesoma baru hiyo inasema hivi
View attachment 1562256
View attachment 1562257
Kwa hiyo kama kavunja sheria hizo, basi tuiache sheria ichukua mkondo wake.
Hii ina maana kuwa tayari ACT imeshapoteza kiti cha Kionondoni
Na huyo ni mmoja kakamatwa, wakisafiri10 kwa siku ndani ya siku10 wana sh ngapiNyingi sana hizo kwa kampeni ya jimbo.
Najua kuwa mpaka sasa yeye ni mtuhumiwa tu; hana hatia yoyote mpaka mahakama iamue. Lakini je atapigaje kampeini wakati akiwa mahabusu? Halafu sheria zetu za mahabusu ni za kiwehu kweli kwani anaweza kukaa mahabusu hadi baada ya uchacgudi kabla hajapelekwa mahakamaniBado hajahukumiwa
Sio mwanasheria ila sioni kesiKesi dhaifu sana hii, hizi ndio kesi za kuwapa ujiko mawakili
Nitashangaa sana kama wengi hamuoni udhaifu wa mashtaka haya.
'Snitch' anavuna alichokipanda!Huyu kubenea aliijichomolea mwenyewe betri kipindi kile alichotaka kumtoa mbowe uwenyekiti pale ndipo alipokosea step, mtu aliteswa Sana na Ccm aliumizwa mno, akaamua kwenda chadema na chadema ikawampa ubunge alipaswa aishikirie chadema Kama mboni Ya jicho lake na Nina Uhakika hata Sasa angerud bungeni kupitia chadema ila sijui aliingiaje ule ujinga aisee, Halafu akakimbia akaenda Kwa zito alipaswa kurud tu Ccm akakosea tena kwenda Kwa Yule janja janja wa zito hapo sasa ndio habari yake inaishia sasa
😂😂Muulize kwani yeye Kurudi kwake huwa anapitia Madirishani!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
🙂[emoji23][emoji23]
Kumbe kuishia form4 ni kutokusoma?Kubenea hajasoma.
Nadhani hata form 4 hakumaliza, yeye mwenyewe aliwahi kuhojiwa akasema ameishia form 4 then akasoma hapa na pale.
Sasa sijui nani mjinga, yule ambae anasema mipaka inalindwa na lazima upite kwa utaratibu ama yule anaesema kuwa unaingia na kutoka tu katika nchi za watu au zko bila kupitia boda.Wewe ni mjinga wa kwanza kwa sababu mjinga wa mwisho ana nafuu, Shenghen counties unazurura nchi zote 12 ndani ya ulaya, halafu nyinyi manyani mnawaza kuwekeana mipaka mpaka dunia ya leo?
You're an idiot.
so ultaka akamatiwe wapi?Sio mwanasheria ila sioni kesi
Otherwise Kubenea sio MTz
Amekamatiwa ndani ya Tz
Usd less than 10K
Kwanini wanaanzisha kesi ili serkali ishindwe? Then ilipe fidia, hizo hela za kulipa ni za nani? Alipe muanzishaji wa kesi ambayo iko poorly formulated
ultaka wamfate hukohuko kenya?Kumbe ile idara maalum ya "Special Branch" bado ipo na inafanya kazi yake sawasawa.
Ila, hii ya kumwachia mtu avuke mpaka uso rasmi aingie nchi jirani, kisha mumsubiri arudi ndipo mumkamate sidhani kama ipo sawa.
Ni maelezo ya Kubenea aliyotoa polisi au ni maneno ambayo DPP anadai ni matokeo ya uchunguzi wao?Kumbuka Kubenea ametoa maelezo Polisi. Hayo uyasemayo siyo maelezomaliyotoa Polisi. Don't make speculations
KinondoniKwani anagombea wapi?