Kumbe matusi ndiyo dalili ya mwanachadema imaradalili ya mvua ni wingu sio lazima radi na upepo! anayenyea kambi habaki pale, ndo siasa maslahi hizi...
Unajua maana ya kutukana?Kumbe mtu akiacha kutukana serikali amenunuliwa na Mbatia?
Kumbe kutukana hovyo Twitter ni sifa hapo Ufipa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unategemea nini kwa chama ambacho kimajaa genge la mabaunsa. Hamna watu wenye busara. Hapo ni matusi tu.
Unafaidika nini kujitia upumbav?Kumbe mtu akiacha kutukana serikali amenunuliwa na Mbatia?
Kumbe kutukana hovyo Twitter ni sifa hapo Ufipa?
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM hamuwezi kuongea tofauti na hivyo!Chadema kimekuwa chama cha hovyo sana inasikitisha sana
Ni matusi,dhihaka,kubeza na kutokutambua chochote hata mambo ya msingi
Mh..!
Wewe na genge lako chadema mtandaoni ni genge la matusi linalofadhiliwa na wabunge na kitengo cha john mrema.Mbona wanaoongoza kwa kuitukana serikali mitandaoni ni wabunge wa CCM. Au haujamwelewa Kubenea!!
Huyu Kubenea ni kati ya watu ambao wananunuliwa na fedha. Mwaka 2006-7 alimwagiwa tindikali na watu anaowajua. Kisha wakampoza na fedha kidgo na kumlipia matibabu India. Tusimzingatie sana kwa vile Kubenea na Mbatia wana bei kama malaya wa Kimboka Bar pale BuguruniAmani iwe nanyi.
Leo wakati akichangia bajeti bungeni mbunge wa Ubungo kupitia chama cha democrasia na maendeleo (Chadema) Saed Kubenea amewaonya wote wanaoitukana serikali na kuwataka watambue dhamana kubwa walizopewa na wananchi za kuwa wabunge.
Saed Kubenea ametolea mfano kuna baadhi ya wabunge wanashinda Twitter wakibeza na kutukana hovyo serikali huku wakisahau kuwa wabunge hao wamepewa heshima kubwa na wananchi ya kuwa bungeni kuishauri na kuiunga mkono serikali.
My take .
Kwa hili pamoja na kwamba elimu ya Saed Kubenea ni ya hapa na pale lakini anaonekana ana akili nyingi mno na maarifa kuwazidi wabunge wengi wa chadema ambao badala ya kushinda majimboni wakitimiza ahadi zao ,badala yake wamegeuza Twitter ndiyo majimbo yao ya kuvurumishia matusi na kutetea mafisadi na mabeberu kama ile sinema ya tutashitakiwa MIGA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafaidika nini kushabikia upuuzi?
Kumbe mtu akiacha kutukana serikali amenunuliwa na Mbatia?
Kumbe kutukana hovyo Twitter ni sifa hapo Ufipa?
Sent using Jamii Forums mobile app