Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Hata humu Jf utawatambua tu kwa tabia hiyo yao!!Kutukana ndio sifa kuu ya wafipa
Sent from Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata humu Jf utawatambua tu kwa tabia hiyo yao!!Kutukana ndio sifa kuu ya wafipa
Sent from Tapatalk
Meseji ya Kubenea ipo clear haina confusion yoyoteHizi ndio siasa za Tanzania. Total confusion
Kutumia akili sio kutumia za kwako unless na wewe ni wale wale wenye dictatorial characters.
Nimemtukana nani na nimemtukanaje. Tafadhali thibitisha, vinginevyo acha unafiki.
Kwa hiyo Kubenea anawasingizia?Nimemtukana nani na nimemtukanaje. Tafadhali thibitisha, vinginevyo acha unafiki.
You cannot expect the people of a country as large as Tanzania to have identical opinions on different issues unless you've some mental derangement to which a professional psychiatrist can be of much help to you.
Mbunge gani ameitukana tusi gani serikali? na serikali ni nini?
Muulize KubeneaMbunge gani ameitukana tusi gani serikali? na serikali ni nini?
Akija CCM lazma tumpe Ubunge maana anakotokea ( chama)wanaandaa vijanaKubenea amejitambua tangu akiwa mmilikii wa mwanahalisi newspapers,kwa hiyo sio size ya kina Heche hao kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatoa wapi pesa ya kuwanunua?Safari ya Nccr mageuzi imeiva
Namshauri asiwatukane CDM maana Mbatia haeleweki sana
Naona Mbatia anawanunua kwa speed ya 5G
Huyu Kubenea ni kati ya watu ambao wananunuliwa na fedha. Mwaka 2006-7 alimwagiwa tindikali na watu anaowajua. Kisha wakampoza na fedha kidgo na kumlipia matibabu India. Tusimzingatie sana kwa vile Kubenea na Mbatia wana bei kama malaya wa Kimboka Bar pale Buguruni
Ni ujinga sana kutaka mtu anayeitwa MPINZANI tena kikatiba aisifie Serikali. UPINZANI au OPPOSITION kazi Yao ni KU-OPPOSE. Yaani yupo bungeni na Uraiani KU-OPPOSE. Sasa mnatakaje MSIFIWE na OPOSER? Yaani katiba imempa haki ya kulipwa Mishahara na Posho kwa ku OPPOSE tu. Mkitaka asiwapinge FANYENI yote Yale YANAYOWAPASA kufanya.Kubenea amejitambua tangu akiwa mmilikii wa mwanahalisi newspapers,kwa hiyo sio size ya kina Heche hao kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe kwa upande mwingine ametuandalia vijana wengi tu...bila wao kuja CCM sijui tungekuajeChadema watapinga na kusema Mbowe ndiyo alimpa hayo mawazo rais Magufuli.
Yani Mbowe Mbowe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kutukana serikali ni jambo la maana sana hapo Ufipa?Mawazo ya Kubenea ni ya hapa na pale kama ilivyo elimu yake. Tusimlaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia tena kwa sauti ya juuHivi huyu ndiye Kubenea wanaccm tuliempinga sana na kusisitiza magazeti yake yafungwe na yasinunuliwe kabisa. Kweli kwa sasa CCM tumekosa makada wa kugombea.
Analipwa kwa ku oppose mambo ya kijinga na ufisadi ,siyo kupinga hata ujenzi wa hospitaliNi ujinga sana kutaka mtu anayeitwa MPINZANI tena kikatiba aisifie Serikali. UPINZANI au OPPOSITION kazi Yao ni KU-OPPOSE. Yaani yupo bungeni na Uraiani KU-OPPOSE. Sasa mnatakaje MSIFIWE na OPOSER? Yaani katiba imempa haki ya kulipwa Mishahara na Posho kwa ku OPPOSE tu. Mkitaka asiwapinge FANYENI yote Yale YANAYOWAPASA kufanya.
Kazi ya ku OPPOSEE itafanyaka kwa kutumia ANY available PLATFORM. Sasa wakati wa serikali zilizopita angalau wazee wa ku OPPOSE walikuwa wanatumia RADIOS kwa kununua airtime, wanatumia MAGAZETI kama ya Kubenea ya MwanaHALISI, wanatumia mikutano ya Hadhara n.k. Sasa hivi hizo platforms HAZIPO. Iliyopo na ambayo haina gharama ni MTANDAO. Unataka OPOSER afanyeje?
Na ukumbuke huyu mtu ANALIPWA Posho na Mishahara kwa kazi ya KUPINGA tu sasa akiwa msifiaji si Mishahara itaenda bure? Hivi hamjui kuwa bungeni Kuna kiongozi wa kambi ya KUPINGA? Hamjui kuwa kiongozi wa kambi ya KUPINGA anapewa Gari, mafuta na gharama zingine za kiutendaji ANALIPWA kwa KODI zetu? Kumbe KUPINGA PINGA ni KAZI na FANI ambayo ni HALALI kabisa?
Tuje kwa KUBENEA. Kuanzia mwaka 2010 hadi 2015 na Kuja hapa miaka ya Karibuni huyu jamaa ametumia Magazeti yake, Mtandao wake wa MwanaHALISI Forums KUPINGA KUIKOSOA NA KUIKEJELI SERIKALI. Leo hii amekuwa na Maono saaaaaaana na Serikali kiasi cha kutaka iwe inasifiwa kila siku?
Mwisho : NAOMBA SERIKALI ITENGENEZE MSWADA UWEKWE BUNGENI UJADILIWE NA UPITISHWE KWAMBA TANZANIA IWE NCHI YA CHAMA KIMOJA NA KUHARAMISHA KILA AINA YA UPINZANI.
Sent using Jamii Forums mobile app