Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,196
- 6,367
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbatia ni TISSSafari ya Nccr mageuzi imeiva
Namshauri asiwatukane CDM maana Mbatia haeleweki sana
Naona Mbatia anawanunua kwa speed ya 5G
Msifie tu kwa kuwa humjui!Kubenea amejitambua tangu akiwa mmilikii wa mwanahalisi newspapers,kwa hiyo sio size ya kina Heche hao kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani iwe nanyi.
Leo wakati akichangia bajeti bungeni mbunge wa Ubungo kupitia chama cha democrasia na maendeleo (Chadema) Saed Kubenea amewaonya wote wanaoitukana serikali na kuwataka watambue dhamana kubwa walizopewa na wananchi za kuwa wabunge.
Saed Kubenea ametolea mfano kuna baadhi ya wabunge wanashinda Twitter wakibeza na kutukana hovyo serikali huku wakisahau kuwa wabunge hao wamepewa heshima kubwa na wananchi ya kuwa bungeni kuishauri na kuiunga mkono serikali.
My take .
Kwa hili pamoja na kwamba elimu ya Saed Kubenea ni ya hapa na pale lakini anaonekana ana akili nyingi mno na maarifa kuwazidi wabunge wengi wa chadema ambao badala ya kushinda majimboni wakitimiza ahadi zao ,badala yake wamegeuza Twitter ndiyo majimbo yao ya kuvurumishia matusi na kutetea mafisadi na mabeberu kama ile sinema ya tutashitakiwa MIGA.
Sent using Jamii Forums mobile app