Saed Kubenea awaonya wabunge wanaoshinda mitandaoni wakiitukana Serikali

Yale magazeti yake ambayo yuko share na mume mwenzake Calist komu ......Mwanahalisi na mengine yaliyokuwa yamefungiwa yatafunguliwa lini ....maana yalikuwaga mwiba kwa serikali
 
Atakuwa anamsema Tundu, Msigwa na Zitto. Kumbe jamaa anafunga vilago!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe unaonekana elimu yako ni ya "hapa na pale", kuunga mkono serikali si miongoni mwa kazi za mbunge! ihimize serikali ya CCM iboreshe elimu ya MEMKWA!
 
Kwa hiyo na wewe unaamini kuwa kazi ya wabunge wa upinzani ni kuiunga mkono serikali?
 
Amesahau alivyokuwa anatumia kigazeti chake kuitukana serikali
 
Tatizo la watu wenye fikra finyu ni kufikiri kuna siku watu watakuwa kama misukule basi woote waiunge tu mkono serikali, hiyo siku haitakaa ifike.

Watu wana mawazo tofauti tofauti ndio uumbwaji ulivyofanya. Wale madikteta wanapotaka watu wawasujudie hua wanapingana na nature, waga wanajidanganya tu na kujipotezea muda.
 
Matusi ni mawazo tofauti tofauti ?

Tumia akili hata kidogo basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu ni Mpinzani au Msifiaji AKA Cheer Leader....,

Kuwe na Nafasi ya Chama Cha Wasifiaji Pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…