Saed Ramovic siyo kocha mzuri kwenye kujilinda, Yanga msifanye kosa kumchukua tena

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
17,119
Reaction score
32,195
Viongozi wa Yanga tafadhari sana, tena sana msifanye kosa la kumrudisha Saed Ramovic.

Kumbukeni jinsi Yanga yake ilivyo kuwa shambolic in defense ikifanyiwa counter attacking.
Ilikuwa wapinzani wakifanikiwa kupora mpira na kupiga long balls zinazofika kwa usahihi basi lazima wakamsalimie Diarra au wawatese walinzi wa Yanga.
Ilifika kipindi Diarra akaanza kuonekana goalkeeper mbovu au kashuka kiwango.

Timu ya Ramovic nzuri ikienda mbele kushambulia, Tena dhidi ya timu ndogo dhaifu.
Bora mrudisheni Gamond au tafuteni kocha mwingine mpya.
Akirudi Ramovic sahauni kufanya vizuri mashindano ya kimataifa ya CAF.
 
Ramovic ni mzuri kufanya high pressing
Na hii ndo mbinu imempa mafanikio coach Klopp
 
Hapa umefika kwa shabiki LFC.
Klopp alipata shida Sana mwanzo sababu ya udhaifu huo kujilinda.
Pili, Yanga inao walinzi wenye sifa za mpira wa Saed Ramovic?
 
Binafsi simkubali sana Ramovic ila ni Bora mara 100 zaidi ya Folz
Yeye anaamini high pressing.
Nyuma wanakuwa mabeki 3 tu na kati anajaza Viungo 5
 
Ramovic ndani ya msimu huu akiwa na CR beluzdad mechi 6 points 7 , usidhani hatujui.
Hayo ni mambo ya kawaida hakuna Coach anafanya vyema kila wakati.
Hata Gamondi kafukuzwa huko Libya
Nabi alitoka El Merrick akiwa amefukuzwa
Thomas Tuchel alitoka Chelsea akiwa bingwa wa UEFA akaenda kufanya vibaya mno ligi dhaifu Bundasliga akiwa na Buyer Munich
 
Viongozi wa Yanga tafadhari sana, tena sana msifanye kosa la kumrudisha Saed Ramovic.

Kumbukeni jinsi Yanga yake ilivyo kuwa shambolic in defense ikifanyiwa counter attacking.
Ilikuwa wapinzani wakifanikiwa kupora mpira na kupiga long balls zinazofika kwa usahihi basi lazima wakamsalimie Diarra au wawatese walinzi wa Yanga.
Ilifika kipindi Diarra akaanza kuonekana goalkeeper mbovu au kashuka kiwango.

Timu ya Ramovic nzuri ikienda mbele kushambulia, Tena dhidi ya timu ndogo dhaifu.
Bora mrudisheni Gamond au tafuteni kocha mwingine mpya.
Akirudi Ramovic sahauni kufanya vizuri mashindano ya kimataifa ya CAF.
Ramovic hana tofauti Folz wote hawana uzoefu wa kufundisha timu kubwa na nilijua tu kule Algeria hatatoboa, Miloud Hamad sijui kwanini viongozi walimuacha yule mzee!
 
Screenshot_20251006-113459_Facebook.jpg
 
Uko sahihi. Yule Ramovich hana tofauti na Romain Folz. Wote ni walewale tu.
Kabisa.

Ile timu yake ilikuwa inashinda kwa hamasa tu za gusa achia twende kwao lakini kimpira timu ilikuwa nyeupe sana.

Mechi ya marudiano na Al Hilal ya Ibenge tulishinda 1 lakini mda wote tunashambuliwa.

Mechi na wale warabu oya oya MC Alger tumeshindwa kupata goli moja tena nyumbani halafu side mnyamwezi akaja na excuse ya kipuuzi eti ligi yetu dhaifu haiwezi kushindana na timu za Algeria.

Kwa kifupi kwa Ramovic mimi binafsi ni big no.
 
Rais wetu Bwa. Hersi Lucas Mwashambwa amesema kocha ni huyuhuyu foloza
 
watu kumbe mpo hewani na hamsemi😆
Binafsi heri Ramovic kuliko Folz.. atleast Ramovic alikua ana gusa achia! Huyu anachezesha timu vibaya jamani nilimuangalia mara 2 ile siku ya simba na Yanga, Simba tu hawakua na utulivu ! Na ile mechi ya kwanza na pamba dk ya 70 >>> bado hamna kitu yani hamna kitu jamani kuhitaji kuwa mchambuzi kujua!
Saed siku ya Al hilal alikua anashambuliwa kwa counter na brilliance ya karumugisha
 
Kabisa.

Ile timu yake ilikuwa inashinda kwa hamasa tu za gusa achia twende kwao lakini kimpira timu ilikuwa nyeupe sana.

Mechi ya marudiano na Al Hilal ya Ibenge tulishinda 1 lakini mda wote tunashambuliwa.

Mechi na wale warabu oya oya MC Alger tumeshindwa kupata goli moja tena nyumbani halafu side mnyamwezi akaja na excuse ya kipuuzi eti ligi yetu dhaifu haiwezi kushindana na timu za Algeria.

Kwa kifupi kwa Ramovic mimi binafsi ni big no.
Gamond aliacha Yanga ikiwa katika kiwango cha kuridhisha, ule mpira wake ungerudi yamkini tutakuwa mbali sana.
 
Viongozi wa Yanga tafadhari sana, tena sana msifanye kosa la kumrudisha Saed Ramovic.

Kumbukeni jinsi Yanga yake ilivyo kuwa shambolic in defense ikifanyiwa counter attacking.
Ilikuwa wapinzani wakifanikiwa kupora mpira na kupiga long balls zinazofika kwa usahihi basi lazima wakamsalimie Diarra au wawatese walinzi wa Yanga.
Ilifika kipindi Diarra akaanza kuonekana goalkeeper mbovu au kashuka kiwango.

Timu ya Ramovic nzuri ikienda mbele kushambulia, Tena dhidi ya timu ndogo dhaifu.
Bora mrudisheni Gamond au tafuteni kocha mwingine mpya.
Akirudi Ramovic sahauni kufanya vizuri mashindano ya kimataifa ya CAF.
Huyu hakuwa kocha ila mbabaishaji tu. Tena aliondoka kwa kusema ligi ya Tanzania haina ushindani, hivyo hututarajii arudi.
 
watu kumbe mpo hewani na hamsemi😆
Binafsi heri Ramovic kuliko Folz.. atleast Ramovic alikua ana gusa achia! Huyu anachezesha timu vibaya jamani nilimuangalia mara 2 ile siku ya simba na Yanga, Simba tu hawakua na utulivu ! Na ile mechi ya kwanza na pamba dk ya 70 >>> bado hamna kitu yani hamna kitu jamani kuhitaji kuwa mchambuzi kujua!
Saed siku ya Al hilal alikua anashambuliwa kwa counter na brilliance ya karumugisha
Bwana Side mnyamwezi siyo kocha mzuri.
Hizo counter attacks unazosema tutapigwa sana huko CAF Champions League au na Azam FC hapa nyumbani.
High line pressing inahitaji backline yenye defender warefu, wenye kasi na ubavu kama akina Virgil Van Djik.
Hawa ndugu zetu akina Dickson Job hawana mbio na msuli wanategemea akili pekee.
Bacca naye anajaribu nguvu lakini hawezi kuwekeana ubavu na striker lenye 75kg na kuendelea lenye kasi.
Au hawezi kupambana na winger mwenye kasi na chenga kama akina Giramugisha uliemtaja.

Kutegemea geggen pressing ya Ramovic au Klopp lazima uwe na washambuliaji wenye convertion rate kubwa ya goal chances, wasiopoteza mipira kirahisi.
Siyo akina Prince Dube wanapoteza mpira, mnafanyiwa transition ya haraka mnafungwa kwa counter attack. Kisha watu wanapaki bus.
Imeisha hiyo out of tournament!

Mzinze anajua kuulinda na ku dribble mpira lakini convertion rate yake mbele ya goal ni ndogo.
Wangekuwa wana convert vizuri zile goal chances mnashindana idadi ya magoli tu. Kama Liverpool ya Klopp ya 2018 -2019 hasa mechi UEFA CL dhidi ya Man City 2018 au mechi na As Roma.
Umeona Liverpool alivyopigwa final na Real Madrid huo msimu? Ndivyo tunavyopigwa CAF CL au CAF Confederation Cup tunaopenda kushambulia tukapoteza mpira.
 
Sema sasa ndo tutafanyaje ila Hersi kwenye kocha amezingua pakubwa sana! Heri hizo Pressing za Saidi mara 700 mnaweza kuibahatisha timu mkaipiga matatu mkapaki bus japo kwa Yanga ni changamoto sana. Sema kitu kizuri kwenye mpira hakunaga timu imekamilika kila kitu ndo hiko kichaka wanajificha makocha wabovu ukipata watu kama Kina Pacome wakatumia ubora wao mkashinda ukapata kina Job wakasafisha safisha mipira tunanyamaza ila mpira hauna mipango kwa Folz hatufiki popote hio 2nd yenyewe naiogopa
 
Back
Top Bottom