Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,689
- 5,497
Kuna tetesi anakuja yule wa Madagascar vipi maoni yako mwananchi kuhusu huyu kocha?Sema sasa ndo tutafanyaje ila Hersi kwenye kocha amezingua pakubwa sana! Heri hizo Pressing za Saidi mara 700 mnaweza kuibahatisha timu mkaipiga matatu mkapaki bus japo kwa Yanga ni changamoto sana. Sema kitu kizuri kwenye mpira hakunaga timu imekamilika kila kitu ndo hiko kichaka wanajificha makocha wabovu ukipata watu kama Kina Pacome wakatumia ubora wao mkashinda ukapata kina Job wakasafisha safisha mipira tunanyamaza ila mpira hauna mipango kwa Folz hatufiki popote hio 2nd yenyewe naiogopa