Saed Ramovic siyo kocha mzuri kwenye kujilinda, Yanga msifanye kosa kumchukua tena

Kuna tetesi anakuja yule wa Madagascar vipi maoni yako mwananchi kuhusu huyu kocha?
 
Kuna tetesi anakuja yule wa Madagascar vipi maoni yako mwananchi kuhusu huyu kocha?
Kiukweli sijafatilia
Naskia skia juu juu sielewi Anatokea club gani au ni kocha wa timu ya Taifa ama nini? Jina?
 
Romain Folz tunatolewa makundi mechi 3 za mwanzo tu.
Timu yake siyo solid in defense, Wala siyo strong in attacking play.
 
Dully Sykes, Mr. Misifa uwezo wake wa kufikiria umefikia mwisho na hakuna pa kudesa. Alidesa kwa makolo kwenda south naye kaenda South kapata bomu. Akirudisha huyu, atakuwa karudisha ex mchovu
 

Timu sio kabila nenda kashabikie mtibwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…