Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 547
- 892
Ilikiwa hivi wana izengo. Nilitamani mkoko muda mrefu. Sasa mama akasema asilimia 23, si nikapiga hesabu zangu za mwalimu Juma.
Nilijidhisha kwamba kwa asilimia hizi, naenda kukamata 920k take home itanitosha na wese.
Nikaingia benki moja pendwa nikavuta 12m keshi. Nikapata ka vits.
Basi bana si ikafika July😀£✓€√π yaaniliona nyotanyota. Iliongezwa 50 pekee. Ninateseka mpaka sasa.
Hata kale ka 50 nikakakopea tu ningefanya nini. Hata ungekuwa wewe.
Nimepaki tuu movement za hapa karib karibu tu maana wese ni kama elfu 10 inanitoa jasho.
Nitasubiri nione kilichomo kimo? Sitathubutu kujiaminisha itakuwa asilimia 35.
Wasalam