Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Shida ipo vichwani mwa wanafunziKwahiyo ile Kamati ya Mwakyembe ilitatua jambo lipi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ipo vichwani mwa wanafunziKwahiyo ile Kamati ya Mwakyembe ilitatua jambo lipi ?
Kama wamefeli kihalali mimi sioni shida.,Kwahio hapo walimu wanachekelea?wanasababisha upungufu wa wasaidizi wa kisheria tu huku mitaani
Ilienda kula posho za siku tuKwahiyo ile Kamati ya Mwakyembe ilitatua jambo lipi ?
Kutwa nzima unashinda WhatsApp na Instagram utasoma sangapiKama wamefeli kihalali mimi sioni shida.,
Ila kama kuna watu walipenyeza rushwa ili watu wapite basi hapo kuna tatizo.
Mambo ya kuongezeana marks eti kisa watu wamefeli ni upuuzi sijawahi kuukubali.
Elimu yetu ilitakiwa kuwa na standard km ya hao jamaa.
True sikupingi..Nilishasema kuwa Watanzania wengi hupata elimu zao kwa ujanjaujanja (cheating). Ukiwadhibiti tu umewamaliza.
AahaaaaaaView attachment 2599573
Kati ya wanafunzi waliohitimu Shahada ya Juu ya Elimu ya Sheria kwa Vitendo kutoka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST) waliofaulu (first sitting) ni 23, ambapo wanaopaswa kurudia baadhi wa mitihani (Sup) ni 498 na wanaopaswa kurudia mafunzo hayo (Disco) ni 360!
Tofauti ya ufaulu wa mwaka jana na mwaka huu kwa walioweza kupita kwa mara ya kwanza ni moja tu, ambapo mwaka jana walifaulu 22!
Hali ilivyokuwa mwaka jana - Matokeo ya Law school of Tanzania, kati ya wanafunzi 500+ walio-clear masomo yote ni 22 tuu!
Umeona mbali sana yaani mzee watu vyuoni kazi kucopy na kupaste assignment bado wananunua mitihani yaani ni balaa kabisa.Kiukweli shule zote zilitakiwa kuwa hivi...
Vilio vya ajira visingekuwepo. Nowadays elimu haina thamani sababu kila mtu amesoma na kugraduate.
Haikuundwa ili kusaidia kufaulisha waliofeliKwahiyo ile Kamati ya Mwakyembe ilitatua jambo lipi ?
Kwa hiyo ulidhani wangefaulu wengi wakati kiuhalisia hawajafaulu?View attachment 2599573
Kati ya wanafunzi waliohitimu Shahada ya Juu ya Elimu ya Sheria kwa Vitendo kutoka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST) waliofaulu (first sitting) ni 23, ambapo wanaopaswa kurudia baadhi wa mitihani (Sup) ni 498 na wanaopaswa kurudia mafunzo hayo (Disco) ni 360!
Tofauti ya ufaulu wa mwaka jana na mwaka huu kwa walioweza kupita kwa mara ya kwanza ni moja tu, ambapo mwaka jana walifaulu 22!
Hali ilivyokuwa mwaka jana - Matokeo ya Law school of Tanzania, kati ya wanafunzi 500+ walio-clear masomo yote ni 22 tuu!
Kwa hiyo kiingereza ni shida siyo eeee?!!!!View attachment 2599573
Kati ya wanafunzi waliohitimu Shahada ya Juu ya Elimu ya Sheria kwa Vitendo kutoka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST) waliofaulu (first sitting) ni 23, ambapo wanaopaswa kurudia baadhi wa mitihani (Sup) ni 498 na wanaopaswa kurudia mafunzo hayo (Disco) ni 360!
Tofauti ya ufaulu wa mwaka jana na mwaka huu kwa walioweza kupita kwa mara ya kwanza ni moja tu, ambapo mwaka jana walifaulu 22!
Hali ilivyokuwa mwaka jana - Matokeo ya Law school of Tanzania, kati ya wanafunzi 500+ walio-clear masomo yote ni 22 tuu!
Ushauri mzuri sana .Kwa hiyo kiingereza ni shida siyo eeee?!!!!
Sorry for them[emoji120]
My take:
Wadogo zetu mnaosoma sheria na ambao mko mwaka wa 1 hebu jitahidini haya ninayowaambia:-
LEGAL MAXIMS....
Huwezi kuwa "lawyer" mzuri bila kujua KIINGEREZA...hususani JAGGONS....tafuteni DICTIONARY ya "legal maxims"....nyingi ziko kwa kilatini ila kwa ninyi ni bora mkazipata zenye "English translations".....waambieni na wenzenu hili.....BUMU la BOOKS & STATIONERY japo ndogo ila mnapata... jisukumeni na jiongezeni hivyohivyo.....WAAMBIENI NA WENZENU WASIOKUWA HAPA[emoji1666]
Unasomaje LEGAL MAXIMS?!!!
Enheeee hivi mmeshawahi kuwaona wale watoto wa shule ya elimu ya dini ya kiislam?!!!
MADRASA MADRASA MADRASA
Hapa nisikilizeni....hawa watoto huwa wanarudiarudia kukariri maneno ya kiarabu....unaweza ukaona kama mfumo wa ajabu ila UBONGO unase vitu ni lazima UVIRUDIERUDIE ukiuhusisha wenyewe ,moyo wako(tranquility) na midomo......waigeni hawa watoto na mume kama chizi vile [emoji1787][emoji1787]
Mathalani kwa mnaosoma chuo kikuu Mlimani unaweza kuweka ratiba na kutembea kutoka hapo hosteli zenu mpaka kimara ukiweka ratiba ya kurudia JAGGONS 5 na maana zake....mkijizoeza hivi kwa miaka 4 mtatisha kama njaa....yaani mtakuwa kama wale vijana wa "CAMBRIDGE & HARVARD SCHOOL OF LAWS".
Kusoma masomo haya haihitajiki utani bali inahitaji uusukume "ukuta na uuanguke"[emoji1787]
1)Medicine
2)Law
3) Engineering
Allah Yehova Yahweh awatangulie ,aaamin aaamin[emoji120]
#YetzerHatov
#DoNotDoHarm
#SiempreJMT[emoji7]
#MamaHuyooooKaja[emoji2956]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hapana...si hivi...huko vijana wanaosoma LAW,MEDICINE, ENGINEERING huwa ni kama chizi kwa kubukua seriously [emoji1787]Hivi katika nchi za wenzetu, hali ni hihii?
Kule NBAA huwa hatulalamiki toka enzi.Ila sikuhizi wanafunzi nao wazito mno niliamgalia jinsi mwanasheria lugha yake aliyotumia na kuandaa mashtaka nilichoka, kingereza kibovu mashtaka hayaeleweki na hapo kaajiriwa na serikalini nikasema ndio maana law school Huwa wanafeli Hawa Kwa ukilaza wao
Hawa 23 ukiwauliza toka wameingia hawajakosa darasa wala kipindi, huwezi kukuta wameshikana viuno na wenza, huwezi kuwakuta Wavuvi camp wala LaChaz maeneo ya sinza, huwezi kukuta wanapigana miti kwenye magari kule parking kama wengine:View attachment 2599573