Safari hii Law School wafaulu 23 tu!

Safari hii Law School wafaulu 23 tu!

Sasa unashangaa nini....

Hizo ndo madhara za siasa .

Product za BRN hizo na madivision ya kugawa hovyo..

Uwezo wao mdogo. Over.
Kaka data, si kwa Sheria tu, ni field zote, yani kama una kampuni yako kuajiri products za 2015 mpaka 2020 ni majanga, rest assured kiwango cha elimu kilishuka sana na cha kufanya ni kuangalia uwezo si vyeti wala interview maana kuna watu wanakariri lakini wakija field ndio hao kama yule mbunge mwanashria anashauri serikali iongeze shilingi 100 kwenye mafuta kwa watu wa Dar kuchangia Barabara[alisoma law school na alikuwa kwenye kundi la watu wanao sup kila mara]
 
Jinsi Div one ya point 7 inavyozidi kuongezeka ndivyo wanafunzi wanavyozidi kufeli Law School...hivi zile 1 ya point 7 kidato cha nne zinaendaga wapi mwishoni?
 
Ningeomba kuwe na paper ya mchujo kama huu kwenye kila fani hapa nchini
 
Elimu ya Tanzania kwa asilimia kubwa sana ni upumbavu
 
duh aiseeee. Tatizo hapo ni English na mafunzo zaidi kipindi chote cha degree. Wengi wanakaririshwa tu
Hayo matokeo ni sahihi kabisa. Watu 700 plus wanataka kuwa mawakili ndani ya mwaka soko gani litawabsorb mtaani?! Kama siyo ghasia ni nini? Kuna advocates, legal solicitors, legal officers ete etc. Siyo kila moja afanye bar exam
 
Wengine ni ndoto zao tu kuweka rekodi sawa.
Hayo matokeo ni sahihi kabisa. Watu 700 plus wanataka kuwa mawakili ndani ya mwaka soko gani litawabsorb mtaani?! Kama siyo ghasia ni nini? Kuna advocates, legal solicitors, legal officers ete etc. Siyo kila moja afanye bar exam
 
Ina maana mwenye degree ya law lazma apitie law school kupata kaz?
 
Back
Top Bottom