Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Bora kuwa na wachache competent kuliko wengi vilaza.Kwahio hapo walimu wanachekelea?wanasababisha upungufu wa wasaidizi wa kisheria tu huku mitaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kuwa na wachache competent kuliko wengi vilaza.Kwahio hapo walimu wanachekelea?wanasababisha upungufu wa wasaidizi wa kisheria tu huku mitaani
Mpwayungu alisomea Law,ni lawyer wa NGO ana Prado namba D new model!!!ila aliambiwa aoneshe cheti Cha Sheria akagoma [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]
Unamtafuta @mpwayungu village. ngojea atoke likizo
Bodi ya madaktari nao wameona ulaji ni kwenye kuwatungia mitihani migumu madaktari tarajali!! wamelia sana hadi kumlilia mama!! Wakati wengine huwa na mtihani mmoja tu, wao wana miwili: 1, Pre internship examination na post internship examination. Ukifele pre internship exam huruhusiwi kwenda internship!! Ukifele post internship exam hupewi leseni ya ku-practice udakltari!! Zaidi ya nusu wako mitaani hawawezi ku-practice pamoja na kusota miaka 6 wakisomea!!
Kwahio hapo walimu wanachekelea?wanasababisha upungufu wa wasaidizi wa kisheria tu huku mitaani
Ila sikuhizi wanafunzi nao wazito mno niliamgalia jinsi mwanasheria lugha yake aliyotumia na kuandaa mashtaka nilichoka, kingereza kibovu mashtaka hayaeleweki na hapo kaajiriwa na serikalini nikasema ndio maana law school Huwa wanafeli Hawa Kwa ukilaza wao
Nafikiri kuna matatizo mengine bado hayajapata majina!