Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
odinga alikuwa anasikilizwa sana ila inaonekana hana la maana kwa nchi ya kenya:
Raila Odinga : Ruto akiachia, ndo nini? Ruto huenda akaondoka kisha Gachagua achukue jukumu la kutekeleza sera mbovu. Ruto pia anaweza kusema ' nimechoka, wacha majenerali wa kijeshi wachukue madaraka. Kisha nchi huanza kupitia kile Misri ilipitia baada ya Tahrir Square. Msemo au msimamo wa ‘'Ruto lazima aondoke'’ haiwezi kuwa mwisho wa matatizo ya wakenya. Ni wakati wa shida kama huu ambapo nchi inahitaji kuzungumza. Hatufanyi hivyo ili kumwokoa Ruto. Tunafanya hivyo kuokoa Kenya.