Safari hii viongozi wa Simba wametu win mashabiki.

Safari hii viongozi wa Simba wametu win mashabiki.

Mara baada ya mchezo, viongozi wa Simba wakakimbilia mitandaoni kutuhadaa kwa kumtupia lawama goal keeper na Mwamuzi wa mchezo.

Wamesahau kuwa yanga jana walituongoza kwa kila kitu kuanzia Possession hadi idadi ya nafasi zilizo tengenezwa kwani walicreate clear chance 4 za magoli ni uzembe wao tu. Sisi tumecreate clear chance 1 tu Ateba akakosa kwa bahati mbaya.

Tukija kwenye penat nikweli tulinyimwa penat 1 sio mbili, lakini tukumbuke kuna mchezaji wetu alistahili red card lakini akapewa njano.

Kwakifupi mimi michezo 4 ya mwisho imefanya niamini kuwa hatuna timu. Rejea mechi ya Dodoma jiji tulizawadiwa penat, mechi ya Coastal ilukuwa tufe, mechi ya Azam hata sijui tulishindaje.

Timu haina wachezaji wa hadhi yetu, haina viongozi wa hadhi yetu, haina mdhamini wa hadhi yetu, shirikisho hatuwezi kufika fainali kwa hali hii.

Naona tukifungwa mara ya 5 mfululizo ikiwa Mo na genge lake wataendelea kuwepo Simba.
Kwangu mimi kocha anawachezaji wake 11 lkn haoni mbadala wa hawa 11,mfano balua ni mbadala wa Mutale,kibu mbadala ni Chasambi+Kalabaka,Ahoua badala ni Awesu,Fernandez ni Ngoma/Okajepha,Ahoua,Mutale game iliwakataa kipindi cha pili ukiangalia Kapombe alikua anazungukwa na watu 3-4 yupo alone inamlazimu Fondo ajemsaidia which is wrong kwakua unasababisha katikati panakua wazi.
Kwangu mimi kuna wachezaji kocha ndio mwenye makosa kutowatumia inasababisha walioanza wakiflop huwezi pata the same output ya watu waliopo nje.
Mtu alieiweza Simba ni Mgunda pekee hawa mapro watakimbia very soon
 
Back
Top Bottom