Tofauti ipo sehemu mbili tuuTofauti ya hyo mifuko ni ipi
Oya hii company ni ya uhakika?Tofauti ipo sehemu mbili tuu
Investment
Withdraw
Umoja fund
Moderate risk
Withdraw within 10 days
Liquid fund
Low risk
Wirhdraw within 3 days
Naomba details zote mkuu namna ya kujiunga , namna ya kuweka pesa, namna ya kutoa na namna faida yake ilivo kwa mweziHabari wadau wa uwekezaji katika UTT AMIS,
Nimefanikiwa leo kujiunga na mifuko miwili yaani UMOJA FUND na LIQUID FUND kwa njia ya simu na nimeanza kuwekeza kwa kununua vipande.
Kipindi najiunga nimeambiwa usaliji haujakamilika mpka ofisi kwao ila naweza endelea kununua vipande kama kawaida.
Nasubiri piaNaomba details zote mkuu namna ya kujiunga , namna ya kuweka pesa, namna ya kutoa na namna faida yake ilivo kwa mwezi
Ipi.hiyo mkuuOya hii company ni ya uhakika?
Sio hiyo UTT AmisIpi.hiyo mkuu
Sio company ni km Taasisi ila ni uhakika 100%Sio hiyo UTT Amis
Natamani kujifunza haya mambo kama Kuna thread imeeelezea naomba mnitag
Shukran sana kaka
View: https://youtu.be/FuAcgpcpjUU?si=Hna4xFBvSfFi9xhuHii link utakua Kila kitu
Siku hizi wajanja ni wanatumia UTT AMIS matajiri ndo wamejaa huko