Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Hongera ni mil 9 au 10 hiyoHabari wadau, niwape mrejesho baada ya safari yangu kuanza katika uwekezaji kupitia UTT AMIS, Sasa napata 3000 kila siku. Hakika hili ningelijua mapema ningefika mbali sana. Kwa sasa napambana nipate zaidi ya hiyo kwa siku.
Wengine njooni kwa kweli, nipo mfuko wa Ukwasi. Yaani kila siku naona ongezeke hilo kwa App yao.
Hujachelewa