heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Return pleae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu pia kununua vipande vya FAIDA FUND.Nimefanikiwa leo kujiunga na mifuko miwili yaani UMOJA FUND na LIQUID FUND kwa njia ya simu na nimeanza kuwekeza kwa kununua vipande.
Mwambie asisahau biasharaHongera nakutakia uwekezaji mwema.
KCT team we are proudAll the best!!
KAZI ni kipimo cha UTU
Nakukumbusha nawe pia Investment is more cooler, less risk and low stress than BussinesMwambie asisahau biashara
Business is better than investment.
#YNWA
Acha kuwapangia watu cha kufanya. Who are you??Hua nashangaa sana kwamba mtu kweli anahela anapelaka UTT ha ha ha. Biashara kichaa ile kuliko hata fixed deposit ya benki.
Labda mkuu utuambie Return On Investment yake ikoje? Hiyo waliyokwambia wakati wanakusuka
Ulishawahi fanya biashara boss?Nakukumbusha nawe pia Investment is more cooler, less risk and low stress than Bussines
Nimetoka kwenye biashara nimeamua nirudi kwenye ajira. Sasa naangalia niweze kuanzisha biashara nikiwa kwenye ajira sio kutegemea biashara peke yake. Nilikua naenda kujifia mimiUlishawahi fanya biashara boss?
#YNWA
😃😃😃Et kujifia tuelezee kidogo hali ilivyokuwa tujifunze.Nimetoka kwenye biashara nimeamua nirudi kwenye ajira. Sasa naangalia niweze kuanzisha biashara nikiwa kwenye ajira sio kutegemea biashara peke yake. Nilikua naenda kujifia mimi
Riba yake ikoje?Jaribu pia kununua vipande vya FAIDA FUND.
Mfuko unaoendeshwa na WATUMISHI HOUSING chini ya WIZARA YA UTUMISHI.
#YNWA
Habari wadau wa uwekezaji katika UTT AMIS,
Nimefanikiwa leo kujiunga na mifuko miwili yaani UMOJA FUND na LIQUID FUND kwa njia ya simu na nimeanza kuwekeza kwa kununua vipande.
Kipindi najiunga nimeambiwa usaliji haujakamilika mpka ofisi kwao ila naweza endelea kununua vipande kama kawaida
UTT sio biashara mkuu. Ni kibubu cha kuchangia fedha au kuhufidhi fedha mpaka siku ukiwa na shida nayo bila kupoyeza thamaniHua nashangaa sana kwamba mtu kweli anahela anapelaka UTT ha ha ha. Biashara kichaa ile kuliko hata fixed deposit ya benki.
Labda mkuu utuambie Return On Investment yake ikoje? Hiyo waliyokwambia wakati wanakusuka
What if hicho kiasi anachopeleka huko UTT amekitoa kutoka kwenye biashara yake hapo utasemaje🤔Hua nashangaa sana kwamba mtu kweli anahela anapelaka UTT ha ha ha. Biashara kichaa ile kuliko hata fixed deposit ya benki.
Labda mkuu utuambie Return On Investment yake ikoje? Hiyo waliyokwambia wakati wanakusuka
Mkuu hizi biashara zisikie tu. Sio poa yani😃😃😃Et kujifia tuelezee kidogo hali ilivyokuwa tujifunze.
UTT ni serikaliOya hii company ni ya uhakika?
Return ni 12 to 15 pct per annumHua nashangaa sana kwamba mtu kweli anahela anapelaka UTT ha ha ha. Biashara kichaa ile kuliko hata fixed deposit ya benki.
Labda mkuu utuambie Return On Investment yake ikoje? Hiyo waliyokwambia wakati wanakusuka
Umefikia jumla ya kiasi gan cha uwekezaji mkuu?Habari wadau, niwape mrejesho baada ya safari yangu kuanza katika uwekezaji kupitia UTT AMIS, Sasa napata 3000 kila siku. Hakika hili ningelijua mapema ningefika mbali sana. Kwa sasa napambana nipate zaidi ya hiyo kwa siku.
Wengine njooni kwa kweli, nipo mfuko wa Ukwasi. Yaani kila siku naona ongezeke hilo kwa App yao.
Hujachelewa