kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
Mkuu, habari. Ninataka kuchanga pesa kufikia mwakani mwezi 4, niwe na kama mls 60 kuna jambo nataka kufanya. nilienda crdb kufungua akaunti ambayo nilitaka iwe inapokea isitoe kwa kipindi hicho mpaka mwez wa 4 wakawa wamenishauri nifungue utt amis sasa nilikuwa nataka kujua ni ipi itanifaa zaidi kati ya options walizo nazo.Habari wadau wa uwekezaji katika UTT AMIS,
Nimefanikiwa leo kujiunga na mifuko miwili yaani UMOJA FUND na LIQUID FUND kwa njia ya simu na nimeanza kuwekeza kwa kununua vipande.
Kipindi najiunga nimeambiwa usaliji haujakamilika mpka ofisi kwao ila naweza endelea kununua vipande kama kawaida.