Safari imeanza Leo na UTT AMIS

Nimefanikiwa leo kujiunga na mifuko miwili yaani UMOJA FUND na LIQUID FUND kwa njia ya simu na nimeanza kuwekeza kwa kununua vipande.
Jaribu pia kununua vipande vya FAIDA FUND.

Mfuko unaoendeshwa na WATUMISHI HOUSING chini ya WIZARA YA UTUMISHI.

#YNWA
 
Hua nashangaa sana kwamba mtu kweli anahela anapelaka UTT ha ha ha. Biashara kichaa ile kuliko hata fixed deposit ya benki.

Labda mkuu utuambie Return On Investment yake ikoje? Hiyo waliyokwambia wakati wanakusuka
 
Unawe

UTT sio biashara mkuu. Ni kibubu cha kuchangia fedha au kuhufidhi fedha mpaka siku ukiwa na shida nayo bila kupoyeza thamani
 
Hua nashangaa sana kwamba mtu kweli anahela anapelaka UTT ha ha ha. Biashara kichaa ile kuliko hata fixed deposit ya benki.

Labda mkuu utuambie Return On Investment yake ikoje? Hiyo waliyokwambia wakati wanakusuka
What if hicho kiasi anachopeleka huko UTT amekitoa kutoka kwenye biashara yake hapo utasemaje🤔
 
Hua nashangaa sana kwamba mtu kweli anahela anapelaka UTT ha ha ha. Biashara kichaa ile kuliko hata fixed deposit ya benki.

Labda mkuu utuambie Return On Investment yake ikoje? Hiyo waliyokwambia wakati wanakusuka
Return ni 12 to 15 pct per annum
 
Habari wadau, niwape mrejesho baada ya safari yangu kuanza katika uwekezaji kupitia UTT AMIS, Sasa napata 3000 kila siku. Hakika hili ningelijua mapema ningefika mbali sana. Kwa sasa napambana nipate zaidi ya hiyo kwa siku.

Wengine njooni kwa kweli, nipo mfuko wa Ukwasi. Yaani kila siku naona ongezeke hilo kwa App yao.

Hujachelewa
 
Umefikia jumla ya kiasi gan cha uwekezaji mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…