Safari imeanza Leo na UTT AMIS

Hongera ni mil 9 au 10 hiyo
 
Hapo utakua umeweka sio chini.ya 10m
 
Ndiyo, nahitaji kuongeza zaidi, natamani mpaka kila mwezi niwe nakuja Mil hivi
Inawezekana mkuu, me pia nimeanza mwez wa sita ila nimefungua account zote,kasoro ya watoto, lakini plan ni kuwa nkipata mtoto tuu naye nimfungulie
 
Hongera sana na uendelee kupambana. Mimi naingizq faida si chini ya 1,500,000 kwa mwezi. Nataka faida ikifika 10,000,000 kwa mwezi nianze maisha ya kustaafu. Hii ni long term game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…