Safari imeanza Leo na UTT AMIS

Mkuu, habari. Ninataka kuchanga pesa kufikia mwakani mwezi 4, niwe na kama mls 60 kuna jambo nataka kufanya. nilienda crdb kufungua akaunti ambayo nilitaka iwe inapokea isitoe kwa kipindi hicho mpaka mwez wa 4 wakawa wamenishauri nifungue utt amis sasa nilikuwa nataka kujua ni ipi itanifaa zaidi kati ya options walizo nazo.
 
Kaza but. Safari inaendeleaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…