nadhani hii haihusiani na hoja mahususi mezani gentleman, right?View attachment 3645905🐻❄️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
nadhani hii haihusiani na hoja mahususi mezani gentleman, right?
umeposti kujifurahisha tu jukwaani, right?🐒
au wameshafikia lengo?Hali ni Mbaya sana . Wana CHADEMA wameamua kufanya Mgomo na kukataa kufanywa kama Manyumbu na Mazezeta. Wana CHADEMA wanaojitambua wamegundua akina heche wanawatumia kunenepesha matumbo yao na kujenga majumba
CAGnadhani hizi porojo ungeiandikia uzi mahususi jukwaani ingependeza zaidi gentleman 🐒
MAFISADI WATAJWE WAONE AIBUhuna taarifa zozote zile kuhusu hoja mahususi mezani gentleman?🐒
Gentleman,Hii ni update ya Jana sasa wewe sijui unataka wakwambie wamefikia wapi kuhusu nini? Ndo maana nasema ukitaka kujua kama mbogamboga wote Kuna mahali bongo zao hazipo sawa fatilia wanayoyaandika au kuongea na ndo maana sikushangaa kuona yule zero brain aliyekuwa anaongea boko kule radioniView attachment 3645911
Kwahiyo waone aibu?andikia uzi mahususi jukwaani ingependeza zaidi gentleman 🐒
Mkuu hebu naomba nijue kiwanga chako cha uelewa kipo asilimia ngapi na hoja yako ya kitu ulichouliza ni kipi? Maana kwa hoja yako hapo juu umeuliza suala la michango imefikia wapi na nimekujibu tena kwa kukutumia screenshot ya Jana kupitia kwa mmoja ya wanachama wa CDM ambaye anasema wamebakiza 56M ili kuzifikia hizo 334M kama lengo lao...sasa naona unakimbilia Hadi kutaka kujua nani katoa kiasi gani of course Mimi nimewachangia elfu tatuGentleman,
changamoto hasa hua ni nini hata katoto kachanga ka chini ya wiki moja, kanachangiwa na mtu moja tu milioni zaidi ya 50, halafu wanaojiita ambosdodors wa chadema kwa ujumla wao, kwa mbinde sana wanachangia tu milioni tuwili tu kwenye chama chenye umri wa zaidi ya miaka 20?🐒
Tuliza mihemko kidogo,Mkuu hebu naomba nijue kiwanga chako cha uelewa kipo asilimia ngapi na hoja yako ya kitu ulichouliza ni kipi? Maana kwa hoja yako hapo juu umeuliza suala la michango imefikia wapi na nimekujibu tena kwa kukutumia screenshot ya Jana kupitia kwa mmoja ya wanachama wa CDM ambaye anasema wamebakiza 56M ili kuzifikia hizo 334M kama lengo lao...sasa naona unakimbilia Hadi kutaka kujua nani katoa kiasi gani of course Mimi nimewachangia elfu tatu