Safari ya chadema kuchangisha milioni mia3.34 imefikia wapi ndugu wadau wa Jf?

Safari ya chadema kuchangisha milioni mia3.34 imefikia wapi ndugu wadau wa Jf?

changamoto ni nini hata milioni mia3.34 iwatoe jasho chadema kiasi hiki?

mbona ni fedheha sana aise 🐒
Tatizo ni Heche hela nyingi zinaelekezwa kwenye pagale la heche na michezo ya chadema ni wakipata milioni 5 inatangazwa milioni moja na laki tano.
 
Bado milioni 13 tu.
hivi tukikopa kwa kitoto kichanga cha Diamond, tumelizie hiyo milioni 13 halafu iwe inarejeshwa kidogo kidigo itakua vibaya gentleman?

maana wanachama milioni 7 hawawezi kubabaika kuchangia milioni mia3.34 kiasi hiki gentleman.
hii ni aibu sana aise 🐒
 
Pumbavu wewe hapo ulipo una maisha ya dhiki kaa pembeni hatujakuomba msaada.
 
Pumbavu wewe hapo ulipo una maisha ya dhiki kaa pembeni hatujakuomba msaada.
tuliza mihemko kidogo ponjoro,
ni vizuri kusaidiana katika dhidi na faraja bila makasiriko.

si unajua tena baada ya dhidi ni faraja? Hapa namalizia kuvuna ekari mia4 za alizeti, mahindi bado sijaanza, na kisha niuze walau gunia 50 za alizeti kisha pesa nichangie tone tone ya chadema, kuna ubaya wowote hapo gentleman?🐒
 
CHADEMA kukusanya milioni 334 kwa wiki kadhaa ni aibu. Enzi za Mbowe walichanga 350m ndani ya siku 1 kulipa faini mahakamani. Leo hii 334m inachukuwa mwezi mzima ni aibu kuu. Ninawapongeza wananchi kwa kugoma kuchanga.
kuna mdau moja kaniuliza mbona michango ya tonetone badala uongezeke inashuka? Nikakwambia nafuatilia kujiridhisha.

kwa picha ya michango ilivyo,
sidhani chadema kama inawanachama zaidi ya laki2 nchi nzima 🐒
 
Kwa ivo kuna siku CHADEMA walitaka kuchangisha mia 3.34?

Hizo shilingi mia tatu na senti thelathini na nne zitafanya kitu gani ndani ya CHADEMA?
 
Kwa ivo kuna siku CHADEMA walitaka kuchangisha mia 3.34?

Hizo shilingi mia tatu na senti thelathini na nne zitafanya kitu gani ndani ya CHADEMA?
Relax bas gentleman ni milioni mia 3.34, okay?

Tuliza mihemko sasa, umelewa ee? Usikurupuke tena kama nyumbu 🐒
 
Tatizo ni Heche hela nyingi zinaelekezwa kwenye pagale la heche na michezo ya chadema ni wakipata milioni 5 inatangazwa milioni moja na laki tano.
kwahiyo heche ni kama vile Lionel Messi akiwa uwajani, kwenye kupiga pesa za chadema, right? :pedroP:
 
Hauko kwenye pay slip yao, kwani lazima wakuripoti kila hatua unayotaka kujua?
 
Mchango wa Harusi wa Mtoto wangu week moja ningeiruka kabisa Chadema.

Hawa jamaa hakika wanachekesha
 
Chadema uhalisia wamwchangisha milion 178 tu

Lema utaona atakavyokua Mbogo kuwatukana wachangiaji kwamba mbona hela ni kidogo
 
CCM mambo ya maana hawayapi umaana ila ujingajinga ndiyo wanashadadia😄😀😃
 
CCM mambo ya maana hawayapi umaana ila ujingajinga ndiyo wanashadadia😄😀😃
kwahiyo gentleman,
Safari ya Chadema ya kupata milioni mia3.34 ni suala la ujinga ujinga tu, right?

mbona unadharau mipango mikakati ya watu aise?🐒
 
Back
Top Bottom